LOS ANGELES, Marekani
MAGARI zaidi ya 650,000 yaliibiwa nchini Marekani mwaka 2025, licha ya kwamba idadi ya matukio hayo imepungua katika miaka ya hivi karibuni.
Wakati...
Na mwandishi wetu, Gazetini
ALIZALIWA Agosti 7, 1876 mjini Leeuwarden, Uholanzi. Akitokea katika familia tajiri, Mata Hari akiwa mdogo aliweza kupata kila alichokitaka kutoka kwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TUME ya Utumishi wa Umma imesema serikali ina nia ya dhati ya kuhakikisha watumishi wa umma wanakuwa salama na wenye afya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amewasha umeme katika Kitongoji cha Mwanubi mkoani Shinyanga na kusema kuwa huduma ya umeme ni hitaji...
VATICAN CITY, Vatican
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, amehimiza kupatikana kwa amani nchini Sudan katika hotuba yake ya jana Agosti 9, 2026,...
HARARE, Zimbabwe
KIUNGO wa zamani wa timu ya soka ya Taifa ya Zambia 'Chipolopolo', Gift Kampamba, anaamini George Lwandamina anastahili kuajiriwa moja kwa moja kukinoa...
MOSCOW, Urusi
SHAMBULIZI la ndege isiyo na rubani linalotajwa kufanywa na Ukraine nchini Urusi limesababisha vifo vya watu 13, akiwamo mtoto.
Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa...
JERUSALEM, Israel
WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema wamkataa ombi la Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu mgogoro wa Gaza.
Kwa mujibu wa Netanyahu, hawakubaliani...
ANKARA, Uturuki
NYOTA wa kimataifa wa Nigeria, Kelechi Iheanacho, amefunga bao katika mechi yake ya kwanza akiwa na Bursaspor ya Ligi Kuu nchini Uturuki.
Katika mchezo...
LONDON, Uingereza
ARSENAL imeangukia pua katika mbio zake za kuiwania saini ya Vinicius Jr baada ya Mbrazil huyo kusaini mkataba mpya wa miaka sita katika...
MADRID, Hispania
MIEZI 14 iliyopita, Trent Alexander-Arnold aliondoka Liverpool akiwa mmoja ya walinzi wa kulia wenye viwango bora Ligi Kuu ya England (EPL) na Ulaya...
LONDON, Uingereza
MABINGWA wa Ligi Kuu ya England (EPL) msimu wa 2025-26, Arsenal, wameimarisha safu yao ya kiungo kwa kumsajili Bruno Guimaraes kutoka Newcastle United,...