LONDON, Uingereza
KLABU ya Chelsea imetangaza rasmi kumfungashia virago kocha wake raia wa Italia, Enzo Maresca, ikielezwa kuwa chanzo ni uhusiano mbaya kati yake na...
LIBREVILLE, Gabon
SERIKALI ya Gabon imetangaza kuvunja benchi la ufundi la timu ya soka ya taifa, ikiwa ni pamoja pia na kumtimua kikosini mshambuliaji wake,...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HATIMAYE miezi 12 ya mwaka 2025 imetamatika. Mwaka huu, 2026, una matukio mengi ya kusubiriwa kwa hamu na wapenzi wa michezo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
LEO ni Januari Mosi, 2026, tukiwa na miezi 12 ya kuhesabu ili kuumaliza mwaka huu. Mwaka 2025 umekwenda zake. Hata hivyo,...
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeipongeza Benki ya NMB kwa kusaini mkataba mnono wa udhamini wa mashindano ya Mapinduzi Cup...
MANCHESTER, Uingereza
WIKI iliyopita, kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, alisema klabu hiyo inapaswa kujiandaa na maisha mapya bila uwepo wake kwenye benchi la ufundi.
Mhispania...
LOS ANGELES, Marekani
UKIWEKA kando soka, masumbwi ni mchezo mwingine unaofuatiliwa zaidi, ukifuatiwa na mpira wa kikapu. Takwimu zinaonesha hivyo.
Kutokana na ushawishi wake duniani, mchezo...
RABAT, Morocco
ILIKUWA ni safari ya umbali mrefu wa kilometa 3,000 akitoka Paris, Ufaransa, hadi nchini Morocco kuzifuata fainali za Mataifa ya Afrika za mwaka...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
BONDIA Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa K.O dhidi ya mpinzani wake Stanley Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano katika raundi...