MADRID, Hispania
VIGOGO wa Ligi Kuu ya Hispania (La Liga), Real Madrid, wako mbioni kuwapiga bei mastaa wao wawili, Ferland Mendy na Raul Asencio.
Madrid wamepoteza...
LONDON, Uingereza
ZIPO taarifa zinazodai kuwa Victor Osimhen wa Galatasaray ni miongoni mwa mastraika walio kwenye orodha ya kocha wa Arsenal, Mikel Arteta.
Gazeti la UK...
LONDON, Uingereza
KIUNGO wa zamani wa Chelsea, Ruud Gullit, amemtabiria makubwa Marcus Rashford akisema straika huyo atafanya makubwa msimu ujao (2026-27) wa Ligi Kuu ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
ANAREJEA! Hatimaye klabu ya Yanga inatarajiwa kumtambulisha kiungo raia wa Burkina Faso, Stephanie Azizi Ki, ifikapo kesho Agosti 15, 2026.
Kwa miezi...
CAIRO, Misri
RAIS wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe, amesema hakuna namna ya kumng'oa Gianni Infantino ndani ya FIFA zaidi ya kusubiri...
INSTANBUL, Uturuki
KAMA hujawahi kufuatilia Ligi Kuu ya Uturuki, basi hebu jaribu kufanya hivyo msimu ujao (2026-27) kwani kuna uhondo wa 'kufa mtu' kutokana na...
LONDON, Uingereza
KWA miaka 43 sasa, rekodi ya dunia ya mbio ndefu za mita 800 kwa wanawake haijawahi kuvunjwa. Bado inashikiliwa na mwanariadha raia wa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WAKATI maumivu ya kupokonywa Selemani Mwalimu yakiwa hayajapoa, Yanga imeipiga tena Simba kwenye mshono kwa kuifunga bao 1-0 na kutwaa taji...
LISBON, Ureno
BAADA ya miaka 10 ya uchumba, hatimaye staa wa soka, Cristiano Ronaldo amefunga ndoa na mpenzi wake, Georgina Rodriguez.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa...
MIAMI, Marekani
SUPASTAA wa soka, Lionel Messi, amesema kifo cha baba yake, Jorge, kinamfanya asijione akiendelea kucheza kwa muda mrefu.
Jorge alifariki wiki iliyopita akiwa na...