*Mapambano ya saratani ya mlango wa kizazi yaendelea
“Kupima saratani ya mlango wa kizazi kwa wanawake ndio mpango mzima…tupambane tuishinde isiue mtu. Mko wapi akina...
Jembe la kazi lililotua Liver kwa bil. 85/-KUELEKEA mwishoni mwa dirisha la usajili la Januari lililofungwa hivi karibuni, Liverpool walivunja kibubu na kutoa Pauni...
Tanzania imepokea dozi nyingine 800,000 za chanjo ya Uviko-19 aina ya Sinopharm kutoka Serikali ya China.
Waziri wa Afya, Ummy Malimu, amesema kuwa: "Tumepokea chanjo...
Mwaka mpya wa masomo nchini Tanzania umeanza tangu Jumatatu Januari 17, 2022 ambapo shule za Elimu Msingi na Sekondari zimefunguliwa.
Upekee ulioshuhudiwa kwa mwaka huu...
JUMAPILI Januari 9, 2022 kivumbi cha Fainali za AFCON 2021 kiaanza kutimua vumbi nchini Cameroon.
Jina ‘Afcon 2021’ limetokana na ukweli kwamba michuano hii ilitarajiwa...
Sekta ya Mifugo ni miongoni mwa maeneo ambayo Tanzania imekuwa ikiyatumia katika kuingiza fedha za kigeni ikiwamo pia utoaji wa ajira kwa Watanzania.
Hata hivyo,...
CHANGAMOTO za maisha ikiwamo ukosefu wa mahitaji muhimu kwa wasichana walioko shule ni moja ya vichochezi vinavyosababisha wengi kuishia kupata ujauzito hali inayokosesha fursa...
UKWELI usio na shaka ni kwamba sekta ya Michezo ya Kubahatisha nchini imeonekana kupiga hatua kubwa katika miaka ya hivi karibuni.
Hata hivyo, ukuaji huo...