Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Ake wa Man City agombewa EPL

LONDON, Uingereza KLABU kadhaa za Ligi Kuu ya England (EPL), ikiwamo Bournemouth, zimeonesha nia ya kumsajili beki wa kati aliyepoteza namba katika kikosi cha Manchester...

Kwa Eagles, hata macho ya kengeza yameuona ubora wa Stars

Na mwandishi wetu, Gazetini NI kweli Tanzania kupitia timu yake ya soka ya taifa 'Taifa Stars' imeuanza vibaya msimu huu wa fainali za Mataifa ya...

Stars yaanza vibaya AFCON, Bacca amficha Osimhen

Na mwandishi wetu, Gazetini TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeanza vibaya msimu huu wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025)...

Ndoa za kitajiri zilizotikisa dunia

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA wengi, ndoa ni tukio muhimu. Katika baadhi ya imani, ndoa ni hatua ya pili ya maisha ya binadamu baada ya...

Endrick rasmi atua Lyon

MADRID, Hispania KLABU ya Lyon ya Ligue 1 imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji kinda wa Real Madrid, Endrick Felipe. Taarifa zinaeleza kuwa Lyon wamemchukua Mbrazil...

Serikali yatoa siku 90 wamiliki kusajili maeneo ya kazi OSHA

Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI imewataka wamiliki wa maeneo ya kazi nchini ambao maeneo yao hayajasajiliwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi...

Mechi hizi hata FIFA haiziruhusu

LONDON, Uingereza KWA mara kadhaa, siasa zimefanikiwa kuingia na kuathiri mchezo wa soka. Ni kama ilivyo sasa kwa Urusi na Ukraine. Baada ya Urusi kuivamia...

Tanzania v Nigeria; Dakika 90 za ‘Daudi na Goliath’ AFCON 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini HII ni mechi ya kwanza kwa kila timu msimu huu wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025). Ni mechi ya...

Barcelona yatua Misri, yamtaka kinda Al Ahly

CATALUNYA, Hispania BARCELONA imeanza harakati za kumsajili kinda wa Al Ahly ya Ligi Kuu nchini Misri, Hamza Abdelkarim.Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 17, amecheza...

Mastaa Man City kupimwa uzito

MANCHESTER, Uingereza KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, ameweka wazi kuwa wachezaji wake wote watapimwa uzito, kabla ya mchezo wao dhidi ya Nottingham Forest. Timu...

Watoto waliotekwa waachiwa

LAGOS, Nigeria WATOTO wengine 130 waliokuwa wametekwa na waasi mwezi uliopita nchini Nigeria wameachiwa na kuungana na familia zao. Ikumbukwe, watoto hao ni miongoni mwa wanafunzi...

Jenerali wa jeshi Urusi auawa

MOSCOW, Urusi URUSI imepata pigo baada ya Jenerali wake wa jeshi kuuawa katika shambulio la bomu, kwa mujibu wa taarifa ya Serikali ya nchi hiyo. Taarifa...

Recent articles

spot_img