Ads: info@gazetini.co.tz |
21.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Klabu ipi EPL ina mastaa wengi Kombe la Dunia 2026?

LONDON, Uingereza MASTAA zaidi ya 100 wa klabu za Ligi Kuu ya England (EPL) watakuwa katika fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu zitakazoanza...

Afrika Magharibi na mtandao wa biashara ya cocaine

DAKAR, Senegal TAKWIMU zinaeleza kuwa asilimia 30 ya dawa za kulevya zinazokwenda Ulaya hupita barani Afrika, hasa katika mataifa ya Magharibi, ikiwamo Senegal. Hiyo ni kwa...

Nchi 10 hatarini kuathiriwa na ebola wakati mlipuko ukizidi DRC na Uganda

KINSHASA, DRC WAKATI Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Uganda zikiendelea kuripoti ongezeko la visa vya maambukizi ya Ebola, nchi 10 za Afrika zimetakiwa...

Mshindi Big Brother ajuta kuwasaidia ndugu

LAGOS, Nigeria MSHINDI wa Msimu wa 7 wa Shindano la Big Brother Naija, Josephina Ijeoma Otabor 'Phyna', ameeleza kujutia uamuzi wake wa kutumia fedha alizopata...

50 Cent, Diddy uadui wao tangu kitambo!

LOS ANGELES, Marekani SIO jambo geni kwamba mastaa wa Hip hop nchini Marekani, Curtis Jackson '50 Cent' na Sean Combs 'Diddy', wamekuwa kwenye uhusiano mbaya...

Uholanzi na ndoto isiyotimia Kombe la Dunia

AMSTERDAM, Uholanzi KWA Taifa kama Uholanzi, ambalo historia yake ya kuzalisha vipaji vikubwa vya soka inafahamika, inaweza kushangaza kuona haijwahi kutwaa ubingwa wa Kombe la...

Max Dowman: Kinda wa Arsenal aliyevunja rekodi kibao EPL

LONDON, Uingereza MSIMU wa 2025-26 haukuwa mzuri tu kwa Arsenal, bali pia umeacha alama kubwa katika safari ya soka la kulipwa ya kinda wao raia...

Israel yatangaza kumuua kamanda wa Hamas

JERUSALEM, Palestina JESHI la Israel limetangaza kufanya shambulizi katika Ukanda wa Gaza na kumuua kiongozi wa wapiganaji wa Kundi linalohusishwa na ugaidi la Hamas. Taarifa ya...

Lil Wayne anasa kwa ‘kitoto cha 2000’

LOS ANGELES, Marekani BAADA ya Lil Wayne kuachana na mpenzi wake wa muda mrefu, Denise Bidot, staa huyo wa muziki wa Hip hop ameripotiwa kuangukia...

Pochettino atangaza ‘jeshi’ lake Kombe la Dunia

LOS ANGELES, Marekani KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Marekani, Mauricio Pochettino, ameita kikosi cha wachezaji 26 kwa ajili ya fainali za Kombe...

Zifahamu sheria, kanuni mpya Kombe la Dunia 206

NYON, Uswis NI siku chache tu zimebaki kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia, ambazo kwa mara ya kwanza zitafanyika katika nchi tatu...

Staa Nigeria afunguka kuvuta bangi za Mil. 630/-

LAGOS, Nigeria MWANAMUZIKI wa Afrobeats nchini Nigeria, Ice Prince Zamani, amedai kuwa alitumia Naira milioni 340 (zaidi ya Sh mil. 630 za Tanzania) kununua bangi. Akihojiwa...

Recent articles

spot_img