Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Viongozi 16,000 wa elimu kunufaika na mafunzo ya uongozi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Mwanza Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais-TAMISEMI imezindua rasmi programu ya mafunzo ya uongozi...

Serikali yatambua mchango wa JET katika uhifadhi wa mazingira

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SERIKALI kupitia Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetunuku Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) tuzo...

Miaka 17 baada ya kifo, filamu ‘yamrudisha’ Michael Jackson

LOS ANGELES, Marekani NI miaka 17 imepita tangu staa wa muziki wa Pop, Michael Jackson, alipofariki Juni 25, 2009, lakini sasa ni kama amezaliwa upya...

Afrika na ndoto ya Pele fainali za Kombe la Dunia 2026

CAIRO, Misri MKONGWE wa soka la Brazil, Pele, aliwahi kutabiri kuwa siku moja Kombe la Dunia litatua Afrika. Alisema hilo lingetokea mwaka 2000. Isivyo habari,...

Carlo Ancelotti na ‘mzimu’ wa Neymar, kikosi cha mastaa Brazil

RIO, Brazil UNAPOITAJA timu ya soka ya Taifa ya Brazil, unazungumzia mabingwa mara nyingi zaidi katika historia ya Kombe la Dunia. Wamelibeba taji hilo mara...

Serengeti Boys yamkosha Arsene Wenger

Na mwandishi wetu, Gazetini ALIYEWAHI kuwa kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, amekunwa na kiwango kizuri cha timu ya soka ya vijana wa U-17 ya Tanzania...

Virusi hivi vya Ebola vimeshindikana, havina chanzo wala tiba

Na mwandishi wetu, Gazetini MAAMBUKIZI ya virusi vya Ebola yameendelea kuripotiwa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kama ilivyo kwa majirani zao, Uganda, huku...

Machafuko Afrika Kusini, Ghana yaondosha raia wake 300

ACCRA, Ghana SERIKALI ya Ghana imepeleka ndege maalumu nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kuchukua raia wake 300 wakati huu wa machafuko yanayoendelea. Baadhi ya wananchi...

Kesi ya Duterte kuanza kusikilizwa Novemba 30

NEW YORK, Marekani MAHAKAMA ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC) imetangaza Novemba 30, 2026, kuwa ndiyo siku ya kuanza kusikilizwa kwa kesi ya Rais wa zamani...

Mwanasheria aliyemuua bosi wake anyongwa

BEIJING, China IKIWA ni miaka miwili imepita tangu alipohukumiwa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua bosi wake, mwanasheria Xu Yao amenyongwa leo Mei 28,...

Moto shule ya wasichana wasababisha vifo 16

GILGIL, Kenya MOTO ambao chanzo chake hakijafahamika umeripotiwa kusababisha vifo vya watu 16, wengi wao wakiwa ni wanafunzi, katika shule ya bweni ya Sekondari ya...

Taasisi ya OSHA yapata Bodi mpya

Na mwandishi wetu, Gazetini Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu ameitaka Bodi Mpya ya Wakala wa Usalama na Afya...

Recent articles

spot_img