MANCHESTER, Uingereza
MANCHESTER City itauanza msimu ujao (2026-27) bila kocha raia wa Hispania, Pep Guardiola. Enzo Maresca aliyewahi kuinoa Chelsea ndiye atakayekuwa kwenye benchi la...
LONDON, Uingereza
BAADA ya ubingwa wao wa kwanza wa Ligi Kuu ya England tangu mwaka 2004, Arsenal wataingia msimu ujao wa 2026-27 wakiwa mabingwa watetezi.
Pia,...
LONDON, Uingereza
MSIMU wa 2025-26 haukuwa mzuri kwao. Chelsea walimaliza mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya England wakiwa nafasi ya 10 kwenye msimamo. Hawatoshiriki...
LONDON, Uingereza
TANGU alipoanguka uwanjani wakati wa fainali za EURO 2020, straika wa timu ya Taifa ya Denmark, Christian Eriksen, amekuwa akivaa kifaa maalumu cha...
JAKARTA, Indonesia
MWANAUME mmoja nchini Indonesia ameshitakiwa kwa kosa la kumuua mama mzazi wa mke wake, ikielezwa kuwa alimpa mishikaki yenye sumu.
Kwa mujibu wa taarifa...
Na Malima Lubasha, Serengeti
KIJIJI cha Rung’abure kilichopo Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, kimetekeleza na kukamilisha miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya...
Na Seif Takaza, Singida
WAKULIMA mkoani Singida wameiomba Serikali kuweka mfumo rasmi wa kuwaingiza kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii ili waweze kunufaika na mafao...
MADRID, Hispania
WANACHAMA takribani 700,000 wa klabu ya Real Madrid watapiga kura leo Juni 7, 2026 kuchagua Rais atakayeongoza kwa miaka minne ijayo.
Kwa sasa, vita...
TUNIS, Tunisia
MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada.
Kuelekea michuano...
Na Ramadhan Hassan, Dodoma
KAMATI ya Kitaifa ya Shindano la Vijana Uchumi Challenge imetangaza rasmi majina ya vijana 100 bora waliofanikiwa kuingia hatua inayofuata ya...