WASHINGTON DC, Marekani
JUNI 7, 2026) zilitimia siku 100 tangu Marekani kwa kushirikiana na Israel zilipoanzisha mashambulizi dhidi ya Iran, vita vilivyosababisa kupanda kwa bei...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KWA miaka ya hivi karibuni, baada ya kufuatilia chaguzi za Afrika, wachambuzi wa siasa wameibua kile wanachokiita mdororo wa afya ya...
MUNICH, Ujerumani
KIWANGO cha umasikini nchini Ujerumani kimeongezeka kwa kasi, ikilinganishwa na takwimu za mwaka 2020, kwa mujibu wa utafiti wa Taasisi ya Parity Welfare...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WANAWAKE wameelezwa kuwa nguzo muhimu katika kuimarisha amani, usalama na ustawi wa jamii, huku ushiriki wao katika operesheni za kulinda amani...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MKURUGENZI wa Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Brigedia Jenerali Hosea Ndagala...
PYONGYANG, Korea ya Kaskazini
RAIS wa China, Xi Jinping, yuko Korea ya Kaskazini kwa ziara ya siku mbili, Juni 8-9, 2026, ikilenga kutanua mahusiano mazuri...
LONDON, Uingereza
POLISI nchini Uingereza wamewakamata watu watatu wanaohusishwa na tukio la kuuawa kwa staa wa muziki mwenye asili ya Nigeria, Mark Orabiyi.
Orabiyi aliyeuawa akiwa...
LAGOS, Nigeria
MWIGIZAJI mkongwe wa Nigeria, Tioruju Mondusi, amefichua kuwa aliwahi kuambiwa na mkewe, kwamba kati ya watoto wao watano kwenye ndoa yao, wawili wana...
ACCRA, Ghana
WAKATI dunia ikitambua kuwa Michael Jackson (sasa marehemu) ndiye 'King of Pop', ameibuka msanii mwingine mwenye mtazamo tofauti.
Ndiyo, nyota wa muziki nchini Marekani,...
MANCHESTER, Uingereza
WALIMALIZA msimu wa 2025-26 wakiwa nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England (EPL) na kukata tiketi ya kwenda Ligi ya...
LONDON, Uingereza
FAINALI za Kombe la Dunia zitaanza Juni 11, 2026, zikitarajiwa kufikia mwezi mmoja baadaye (Julai 19), safari hii zikifanyika Marekani, Mexico na Canada.
Nyota...