Ads: info@gazetini.co.tz |
28.3 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Yametimia! Waziri Mkuu Uingereza abwaga manyanga

LONDON, Uingereza BAADA ya tetesi za muda mrefu, hatimaye Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu. Kwa wiki kadhaa za hivi karibuni, Starmer amekuwa kwenye...

Yanga, Azam zaacha historia ya ‘vichwa’ CCM Kirumba

Na mwandishi wetu, Gazetini INAWEZA kuumiza kichwa kukumbuka mechi ya aina hii; Yanga dhidi ya Azam, ambayo ilimalizika kwa jumla ya mabao matano na yote...

Kibarua wa viwandani aliyefunga mabao mawili kuiokoa Ujerumani

MEXICO CITY, Mexico IVORY Coast ikiwa mbele kwa bao 1-0, kocha wa timu ya soka ya Taifa ya Ujerumani, alimuinua kwenye benchi Deniz Undav aliyeingia...

Rais Trump afichua Waziri Mkuu wa Uingereza kujiuzulu

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amedai kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, anajiandaa kujiuzulu. “Keir Starmer atajiuzulu katika nafasi yake ya Waziri...

Simba: Azam siyo mbaya ila tulimtaka ‘my’ wetu

Na mwandishi wetu, Gazetini BAADA ya kuitazama Azam ikiifunga Yanga na kutinga fainali ya Kombe la FA, mashabiki wa Simba wameonesha kutoridhishwa na matokeo hayo. Yanga...

Mabeberu, majirani wanavyopishana ‘kuchota utajiri’ wa DRC

Na mwandishi wetu, Gazetini WAKATI wengine wakiamini DRC imefeli katika diplomasia na ulinzi, vita vinavyoendelea nchini humo vinahusishwa pia na hila za mataifa makubwa duniani. Kwamba...

Muller aitaka United kumchukua Manzambi

MUNICH, Ujerumani LEJENDARI wa Bayern Munich, Thomas Muller, ameishauri klabu ya Manchester United kumsajili kiungo wa Freiburg, Johan Manzambi. Ushauri wa Muller umetokana na kiwango kizuri...

Huyu ndiye Dk. Suzanne wa Kombe la Dunia 2026

CALIFORNIA, Marekani FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zimeshuhudia historia nyingi zikiandikwa lakini moja ya hizo ni uwepo wa Dk. Suzanne Huurman. Katika...

Ujerumani nayo yatinga 32 Bora

NEW YORK, Marekani TIMU ya soka ya Taifa ya Ujerumani imeungana na zingine mbili kutinga hatua ya 32 Bora ya fainali za Kombe la Dunia...

Neymar mzigoni kuivaa Scotland

MEXICO CITY, Mexico KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, amethibitisha kuwa mshambuliaji wake, Neymar, anaweza kuwa fiti kuivaa Scotland katika...

Marekani yajitoa mapambano dhidi ya Ukimwi Afrika Kusini

WASHINGTON DC, Marekani SERIKALI ya Marekani imetangaza kusitisha ufadhili wa programu zote za mapambano dhidi ya Ukimwi nchini Afrika Kusini. Afrika Kusini inaongoza duniani kwa kuwa...

Tunawataka! Simba yatangulia ikiisubiri Yanga fainali FA

Na mwandishi wetu, Gazetini SIMBA SC imekuwa ya kwanza kutanguliza mguu fainali ya Kombe la FA na sasa inasubiri mshindi kati ya Yanga na Azam...

Recent articles

spot_img