MEXICO CITY, Mexico
STRAIKA wa Manchester City, Erling Haaland, ameendeleza moto wake msimu huu wa Kombe la Dunia baada ya kufunga mara mbili katika ushindi...
LONDON, Uingereza
WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ameachia ngazi ikiwa ni miaka isiyotimia miwili tangu alipoingia madarakani kupitia Chama cha Labour.
Hatua hiyo imekuja baada...
TEXAS, Marekani
Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Argentina, aliweka wazi nia yake ya kuondoka Atletico muda mfupi baada ya kuiongoza Argentina kupata ushindi wa mabao...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
UKIKATIZA mitaa miwili hadi mitatu, hasa katika majiji makubwa kama ilivyo kwa hapa Dar es Salaam, ni jambo lisilowezekana kukutana na...
LONDON, Uingereza
ARSENAL imefanikiwa kuinasa saini ya kipa wa Phoenix Blayney, ambaye pia alikuwa kwenye rada za Liverpool.
Kipa huyo mwenye umri wa miaka 16, amekuwa...
LISBON, Ureno
LEJENDARI wa timu ya soka ya Taifa ya Ureno, Bruno Alves, amewasikia wanaoponda kiwango cha Cristiano Ronaldo msimu huu wa fainali za Kombe...
MEXICO CITY, Mexico
NAHODHA wa timu ya soka ya Taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe, amesema si sahihi kwa Ousmane Dembele kukosolewa kwa kiwango alichokionesha katika...
ACCRA, Ghana
MGANGA wa kienyeji raia wa Ghana ambaye alidai kumsababishia majeraha Cristiano Ronaldo wakati wa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2014, ameibuka na...
CALIFORNIA, Marekani
WINGA wa kimataifa wa Hispania, Lamine Yamal, amempiku Lionel Messi katika orodha ya wachezaji wenye umri mdogo zaidi kufunga bao kwenye mechi ya...
MIAMI, Marekani
KLABU ya Inter Miami ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS) imethibitisha kuinasa saini ya kiungo wa kimataifa wa Brazil, Casemiro.
Casemiro amejiunga na timu...
LAGOS, Nigeria
MWIGIZAJI maarufu wa soko la filamu la Nigeria (Nollywood), Nancy Isime, amesema haoni kama anaweza kufurahia ndoa akiwa na mwanaume asiye na kipato...