Na mwandishi wetu, GazetiniMATUMAINI ya mashabiki wa soka nchini kuiona timu yao ya Taifa, Taifa Stars, ikifuzu fainali zijazo za Kombe la Dunia yameota...
Na Hassan Mwasha, GazetiniTUMEKUWA tukiishi kwa mazoea hata katika mambo yanayoweza kuhatarisha maisha yetu. Cha kushangaza, hakuna anayejali. Tuko 'bize' kwa lipi wakati maisha...
RIYADH, Saudi ArabiaMSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo, ameandika historia ya kuwa bilionea wa kwanza kwa upande wa wachezaji mpira wa miguu.Hiyo ni...
Na mwandishi wetu, GazetiniNI miaka miwili sasa tangu wapiganaji wa Hamas walipoishambulia Israel. Shambulizi hilo la Oktoba 7, mwaka 2023 liligharimu maisha ya watu...
RIO, BrazilWAKATI Ousmane Dembele anaitwaa tuzo ya mwaka huu ya Ballon d'Or, Neymar alikuwa kitandani akisikilizia maumivu ya upasuaji. Ni majeraha yake ya tatu...
Na mwandishi wetu, GazetiniHUKU idadi ya vijana wanaovuta shisha ikifikia milioni 15 duniani kote, Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) limezionya kampuni...
MANCHESTER, UingerezaKLABU ya Trabzonspor ya Uturuki imewasiliana na wakala wa Andre Onana na kumwambia inataka kumsajili moja kwa moja kipa huyo wa Manchester United.Onana...
AMSTERDAM, UholanziMFUNGAJI bora wa muda wote wa timu ya taifa ya Uholanzi, Memphis Depay, amekosekana kikosini kutokana na mkasa wa kuibiwa hati ya kusafiria.Kwa...
MUNICH, UjerumaniMPACHIKAJI mabao wa Bayern Munich, Harry Kane, amesema si kweli kwamba atarudi Ligi Kuu ya England, na badala yake anataka kusaini mkataba mpya...
CAIRO, MisriSHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limesisitiza kuwa fainali za mwaka huu za AFCON zitafanyika Morocco, licha ya hali tete ya usalama nchini humo.Maandamano...
HARARE, ZimbabweWAKONGWE wa Ligi Kuu ya soka ya Zimbabwe, Abas Amidu na Reuben Mhlanga, wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya...
EDINBURGH, ScotlandHUENDA mabosi wa Rangers ya Scotland wakamrejesha kwenye benchi la ufundi kocha wao wa zamani, Steven Gerrard.Mkongwe huyo wa Liverpool mwenye umri wa...