Na Mwandishi Wetu, Gazetini, Arusha
UTAFITI unaofanyika katika mradi wa kimkakati wa Eyasi Wembere, unaolenga kutafuta mafuta na gesi katika Bonde la Ufa la Afrika...
Na Mwandishi Maalum, Gazetini
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza kuwa hakuna kitakachotokea Oktoba 29, hivyo wananchi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, amekutana na wataalamu kutoka Tume ya Taifa ya Mipango wakiongozwa na Naibu...
JERUSALEM, PalestinaKATIKA kile kinachotafsiriwa kuwa ni hatua nzuri katika kumaliza mgogoro wa Gaza, wanajeshi wa Israel wameanza kuondoka katika Ukanda huo.Kurejea nyumbani kwa wanajeshi...
MADRID, HispaniaMVUA kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha mafuriko zimeathiri safari za ndege nchini Hispania.Kwa mujibu wa taarifa, mafuriko hayo yameikumba mikoa ya Kusini-Mashariki mwa...
WASHINGTON DC, Marekani
IKULU ya Marekani imeikosoa Kamati ya Tuzo ya Amani ya Nobel ikisema haitendi haki katika kutangaza washindi. Kwa mujibu wake, tuzo ya...
KYIV, UkraineMAENEO mengi ya Mji Mkuu wa Kyiv yamekosa umeme kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na Urusi nchini Ukraine.Mamlaka za Kyiv zimeeleza kuwa licha ya...
BANJUI, GambiaKATIKA mchezo wa jana, straika Pierre-Emerick Aubameyang alifunga mabao yote katika ushindi wa 4-3 wa timu yake ya taifa ya Gabon dhidi ya...
DURBAN, Afrika KusiniMASHABIKI wa timu ya taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana' walijikuta kwenye majonzi baada ya 'chama' lao kulazimishwa suluhu na Zimbabwe katika...
ALGIERS, AlgeriaMSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Algeria, Riyad Mahrez, ameweka wazi kuwa fainali zijazo za Kombe la Dunia zitakuwa za mwisho katika maisha...
Na Mwandishi Wetu, Gazetii- Chunya
UPANUZI wa shughuli za uchimbaji uliofanyika katika eneo la Porcupine North umeongeza uhai wa Mgodi wa Shanta Gold – New...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Miaka michache tu iliyopita, jina Xiaomi lilikuwa geni kwa wengi nje ya China. Lakini leo, jina hilo limegeuka kuwa alama ya...