Ads: info@gazetini.co.tz |
29.5 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Bayern yaivamia Liver kwa Guehi

MUNICH, Ujerumani VIGOGO wa Bundesliga, Bayern Munich, wamejitosa katika mpango wa Liverpool wa kumsajili beki wa Crystal Palace, Marc Guehi.Guehi mwenye umri wa miaka 25,...

Serikali yasisitiza taasisi kuhamia matumizi ya nishati safi ya kupikia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Mwanza  Wakati dunia ikikabiliwa na changamoto ya uharibifu wa mazingira na afya unaosababishwa na moshi wa kuni na mkaa, Serikali imeendelea kusukuma...

Polisi wanasa mtandao wa wezi wa simu

LONDON,UingerezaOPERESHENI kubwa ya polisi nchini Uingereza imefanikiwa kunasa genge linalojihusisha na uhalifu wa wizi simu.Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtandao huo unahusika katika...

DCEA: Tumeanza kuwasaka mapapa waliojificha nje ya Nchi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeteketeza zaidi ya tani nne za dawa za kulevya zilizokuwa zikihifadhiwa...

Ripoti: Uwindaji haramu wapungua, lakini faru bado wapo hatarini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini TANZANIA imeendelea kuungana na nchi nyingine duniani katika kusherehekea Siku ya Faru Duniani kia ifikapo Septemba 22, huku takwimu mpya zikionyesha...

‘Bluetoothing’ yageuka janga Fiji, maambukizi ya VVU yaongezeka mara kumi

Suva, FIJI Fiji sasa inakabiliwa na mlipuko mkubwa wa Virusi vya Ukimwi (VVU), huku wataalamu wakionya kuwa nchi hiyo iko katika “dhoruba kamili” ya kiafya...

Global Women Leaders Unite for Peace at IWPG 2025 Conference

Cheongju, SOUTH KOREA Women leaders from across the world, many from nations affected by war and instability, gathered to strengthen their role in global...

RC Mara apongeza taasisi ya Nyansaho Foundation kwa kuchochea maendeleo

Na Malima Lubasha, Gazetini-Serengeti Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ameipongeza Taasisi ya Nyansaho Foundation kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo ya jamii,...

Russell afungashiwa virago

EDINBURGH, ScotlandMABOSI wa klabu ya Rangers wamejadiliana na kukubaliana kumfuta kazi kocha wake, Russell Martin.Russell amefungashiwa virago akiwa ameliongoza benchi la ufundi katika mechi...

Mbwa amponza staa West Ham United

LONDON, UingerezaNYOTA wa zamani wa West Ham United ya England, Said Benrahma, amefunguliwa mashitaka baada ya mbwa wake kumng'ata mtembea kwa miguu.Benrahma (30), ambaye...

Peru na historia ya marais wastaafu kutupwa gerezani

LIMA, PeruKUTOKANA na sababu mbalimbali, nyingi zikihusiana na vitendo vya rushwa, marais wastaafu nchini Peru wamejikuta wakianza maisha mapya ya gerezani baada ya kutoka...

Singida Black Stars na safari yao ya kibabe CAF

Na mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kuisukuma nje ya mashindano Rayon Sports ya Rwanda, Singida Black Stars wameonga mbele na kuingia hatua ya pili ya...

Recent articles

spot_img