Ads: info@gazetini.co.tz |
22.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Shabiki aliyebadili jina na kujiita ‘Man United’

LONDON, UingerezaMAPENZI yake yasiyo na mfano kwa Manchester United yalianza baada ya klabu hiyo ya Ligi Kuu ya England kutwaa taji la Ligi ya...

Raila Odinga; Mtoto wa Makamu wa Rais aliyeacha alama siasa za upinzani Kenya

Na mwandishi wetu, GazetiniSIASA za Afrika Mashariki zimegubikwa na simanzi nzito baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amolo Odinga. Mwanasiasa...

Kiongozi wa upinzani Odinga afariki

NAIROBI, KenyaTAARIFA kutoka India alikokuwa akiendelea na matibabu zimeeleza kuwa kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, ameiaga dunia.Odinga (80), amefariki kwa shambulio la...

Qatar yaandika historia Kombe la Dunia

DOHA, QatarHII inakuwa mara ya pili kwa Qatar kushiriki Kombe la Dunia lakini ni mara ya kwanza kukata tiketi kupitia mechi za kufuzu.Ikumbukwe, Qatar...

Ivory Coast, Senegal zafuzu Kombe la Dunia

CAIRO, MisriVIGOGO wa soka la Afrika Magharibi, Ivory Coast na Senegal, zimekata tiketi ya kushiriki fainali zijazo za Kombe la Dunia za mwakani.Senegal 'Simba...

Ronaldo kinara wa mabao kufuzu Kombe la Dunia

LISBON, UrenoBAADA ya kufunga mabao mawili jana, Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji aliyepasia nyavu mara nyingi katika historia ya mechi za kufuzu fainali za Kombe...

Jeshi laingia Ikulu Madagascar, lavunja Tume ya Uchaguzi

ANTANANARIVO, MadagascarJESHI nchini Madagascar limethibitisha kuingia Ikulu na kuchukua rasmi majukumu ya kuunda Serikali ili kuiongoza nchi hiyo.Ikumbukwe, taarifa hiyo inakuja baada ya Rais...

Mzee Mwakilembe: Nilianza na jembe, leo namiliki kiwanda cha Shaba

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MZEE Benson Gabriel Mwakilembe, maarufu kwa jina la Tall, ni miongoni mwa wachimbaji wa madini waliogeuza changamoto kuwa fursa. Baada ya...

Ndoto ya kuunganisha Tanga na Pwani ya Afrika Mashariki mbioni

*Ujenzi wake wafikia asilimia 74.3 Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Tanga UJENZI wa Daraja la Pangani mkoani Tanga, lenye urefu wa mita 525 pamoja na barabara unganishi na...

Upinzani wajitangazia ushindi Uchaguzi Mkuu Cameroon

GAROUA, CameroonMGOMBEA wa urais kupitia upinzani, Issa Tchiroma, amejitangaza kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 12, mwaka huu.Hata hivyo, wakati Tchiroma akichukua hatua...

Huyu ndiye kocha mpya Yanga

Na Hassan Mwasha, GazetiniYANGA wamemtambulisha kocha mpya, Patrick Mabedi, ambaye amejiunga na benchi la ufundi kufanya kazi chini ya Romain Folz. Ifahamike kuwa Yanga...

Rais Madagascar aikimbia Ikulu akihofia jeshi kumuua

ANTANANARIVO, MadagascarRAIS wa Madagascar, Andry Rajoelina, ameibuka na kusema yuko sehemu salama zaidi na si Ikulu ili kunusuru maisha yake baada ya kushitukia mpango...

Recent articles

spot_img