Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Ronaldo kinara wa mabao kufuzu Kombe la Dunia

LISBON, UrenoBAADA ya kufunga mabao mawili jana, Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji aliyepasia nyavu mara nyingi katika historia ya mechi za kufuzu fainali za Kombe...

Jeshi laingia Ikulu Madagascar, lavunja Tume ya Uchaguzi

ANTANANARIVO, MadagascarJESHI nchini Madagascar limethibitisha kuingia Ikulu na kuchukua rasmi majukumu ya kuunda Serikali ili kuiongoza nchi hiyo.Ikumbukwe, taarifa hiyo inakuja baada ya Rais...

Mzee Mwakilembe: Nilianza na jembe, leo namiliki kiwanda cha Shaba

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MZEE Benson Gabriel Mwakilembe, maarufu kwa jina la Tall, ni miongoni mwa wachimbaji wa madini waliogeuza changamoto kuwa fursa. Baada ya...

Ndoto ya kuunganisha Tanga na Pwani ya Afrika Mashariki mbioni

*Ujenzi wake wafikia asilimia 74.3 Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Tanga UJENZI wa Daraja la Pangani mkoani Tanga, lenye urefu wa mita 525 pamoja na barabara unganishi na...

Upinzani wajitangazia ushindi Uchaguzi Mkuu Cameroon

GAROUA, CameroonMGOMBEA wa urais kupitia upinzani, Issa Tchiroma, amejitangaza kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 12, mwaka huu.Hata hivyo, wakati Tchiroma akichukua hatua...

Huyu ndiye kocha mpya Yanga

Na Hassan Mwasha, GazetiniYANGA wamemtambulisha kocha mpya, Patrick Mabedi, ambaye amejiunga na benchi la ufundi kufanya kazi chini ya Romain Folz. Ifahamike kuwa Yanga...

Rais Madagascar aikimbia Ikulu akihofia jeshi kumuua

ANTANANARIVO, MadagascarRAIS wa Madagascar, Andry Rajoelina, ameibuka na kusema yuko sehemu salama zaidi na si Ikulu ili kunusuru maisha yake baada ya kushitukia mpango...

Cape Verde yaandika historia kutinga Kombe la Dunia

PRAIA, Cape VerdeKATIKA historia ya soka, Cape Verde limekuwa taifa dogo la pili kukata tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia. Ni baada ya ushindi...

Tamthilia Azam TV; Uhondo umeanzia walipoishia ITV

Na mwandishi wetu, GazetiniLEO hii, kama ni 'mateka' wa tamthilia za Tanzania zinazorushwa na Azam TV, basi tunaweza kusema unaiishi dunia yenye kumbukumbu nzuri...

Maria Corina Machado; ‘Mwanamke wa shoka’ aliyempindua Rais Trump

Na mwandishi wetu, GazetiniNI ukweli usiopingika kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, ameumizwa na kitendo cha kutoitia mkononi tuzo ya Amani ya Nobel ya...

Megawati 90 kuongeza uchimbaji madini Chunya – “umeme safi, uwekezaji bora”

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mbarak Alhaji Batenga, amefafanua mikakati kabambe ya kuimarisha shughuli za uchimbaji madini wilayani humo, ikiwemo ujenzi...

Wapenzi waliotenganishwa na vita kwa miaka zaidi miwili waungana tena

YERUSALEMU, Israel Wapenzi wa Israel walioitwa ‘Romeo na Juliet’ wameungana tena baada ya zaidi ya miaka miwili tangu kutenganishwa na mashambulizi ya Hamas. Noa Argamani, aliyekuwa...

Recent articles

spot_img