Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA sehemu ya saba, tuliona namna Idi Amin alivyoagiza Wakenya waliokuwa wakiishi Uganda kuuawa, akiamini nchi hiyo jirani iliwasaidia makomandoo wa...
MADRID, Hispania
MWANASOKA raia wa Argentina anayecheza eneo la ushambuliaji, Julian Alvarez, alijiunga na Atletico Madrid mwaka 2024 akitokea Manchester City na usajili wake uligharimu...
KYIV, Ukraine
UKIWA ni mwezi mmoja tangu alipojiuzulu katika nafasi yake ya Waziri wa Ulinzi, Mykhailo Fedorov ameibuka na kauli zinazoashiria kuwa amejipanga kumvaa aliyekuwa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
RAIA wa kigeni zaidi ya 17,600 wameondoka Afrika Kusini tangu Aprili, 2026 kutokana na vurugu walizofanyiwa na wenyeji wao. ‘Wasauzi’ hawataki...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
HOJA ya maridhiano ina umuhimu mkubwa. Ukweli ulio wazi ni kwamba nchi ipo kwenye mkwamo unaohitaji meza ya mazungumzo. Tuzungumze kweli...
LUSAKA, Zambia
KIONGOZI wa siasa za upinzani nchini Zambia kupitia Chama cha National Reconciliation Party for Unity, Brian Mundubile, ameyapinga matokeo yaliyomrejesha madarakani Rais Hakainde...
LONDON, Uingereza
BEKI wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand, amemtabiria kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, kutwaa tena taji la Ligi Kuu ya England (EPL)...
Douala, Cameroon
MMREMBO anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Injili nchini Cameroon, Relie M, amewakosha wapenzi wa muziki huo baada ya kuachia wimbo mpya wenye...
LAGOS, Nigeria
KIKONGWE mwenye umri wa miaka 101, bi. Esther Ogunmabo, anashikiliwa na polisini nchini Nigeria kwa kosa la kuuza dawa za kulevya aina ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA sehemu iliyopita, tuliona Israel, Uingereza na hata India zikisitisha mahusiano ya kidiplomasia na Uganda ya Idi Amin, huku Libya, Umoja...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TULIISHIA wapi? Katika sehemu ya tano ya makala haya, tuliishia tukio la Juni 25, 1976, ambapo Baraza la Ulinzi la Uganda...