Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Nchi zenye ‘sura ya ugaidi’ mbele ya Marekani

LOS ANGELES, Marekani MAREKANI imeiondoa Syria katika orodha ya nchi inazoamini zinafadhili vitendo vya kigaidi (SSOT). Hatua hiyo ni mwendelezo wa uhusiano mzuri wa mataifa...

Miji yenye watu wengi zaidi duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini MWAKA 1950, Tokyo (Japan) na New York (Marekani) ndiyo miji iliyokuwa na idadi kubwa ya watu duniani. Tokyo ilikuwa na watu...

Uchumi wa dunia kufikia trilioni 150 mwaka 2030

Na mwandishi wetu, Gazetini UCHUMI wa dunia unatarajiwa kufikia Dola za Marekani trilioni 150 ifikapo mwaka 2030, kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Fedha...

Nchi zinazoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini CHINA ndiyo nchi inayoongoza kwa uzalishaji wa madini ya dhahabu duniani. Uzalishaji wake umeongezeka kwa asilimia 9 kutoka tani 351 mwaka...

Siasa zinawahitaji Kikwete, Mbowe na Heche

Na Hassan Mwasha, Gazetini HISTORA inaweza kuzitaja skendo za ufisadi za ESCROW na RICHMOND kama nyakati mbaya zaidi katika utawala wa Serikali ya Awamu ya...

Nchi zilizo hatarini kwa kufanya biashara na Iran

WASHINGTON DC, Marekani HIVI karibuni, Marekani ilizitangazia ‘kiama’ nchi zinazofanya biashara na Iran, ikisema nazo zitakumbana na vikwazo vya kiuchumi. Iran imekuwa kwenye vikwazo vya...

Xavi Hernandez kurejesha heshima ya Uholanzi?

ZEIST, Uholanzi KIUNGO na kocha wa zamani wa Barcelona, Xavi Hernandez, ndiye aliyekabidhiwa benchi la ufundi kwa ajili ya kuinoa timu ya soka ya Taifa...

Serikali, M23 na safari ya kutafuta amani DRC

KINSHASA, DRC WAWAKILISHI wa Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Kundi la waasi la M23 wamekutana mjini Geneva, Uswis, na kukubaliana kuweka...

Siku 14 za Rais Samia kufanya uamuzi, ‘utata’ wa Dk. Nchimbi

Na Hassan Mwasha, Gazetini RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ana siku 14, kwa mujibu wa Ibara ya 50(4) ya...

Man United yamnasa Baleba

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United imekamilisha usajili wa kiungo wa kimataifa wa Cameroon, Carlos Baleba baada ya kukubali ada ya Pauni milioni 70. Kwa mujibu...

Idi Amin; Utata wa ‘birthday’, usaliti na udikteta wake (10)

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA sehemu ya tisa, tuliishia pale bi. Madina alipomuomba Yoweri Museveni amruhusu Idi Amin kurudi Uganda. Rais huyo akasema ‘Idi Amin...

Idi Amin; Utata wa ‘birthday’, usaliti na udikteta wake (9)

Na mwandishi wetu, Gazetini “KAMA hamtaki kupigana, nitapigana peke yangu.” Ni kauli aliyoitoa Idi Amin kuwaambia wanajeshi wake waliomfuta Machi, 1997, wakimuomba ajiuzulu baada ya...

Recent articles

spot_img