NEW YORK, Marekani
RAIA wa Haiti takribani 200,000 wameUmoja rejea nchini humo baada ya kukimbia mapigano ya magenge ya uhalifu yaliyotamalaki nchini humo.
Takwimu hizo ni...
BERLIN, Ujerumani
MAHAKAMA Kuu nchini Ujerumani imemuhukumu kifungo cha maisha mwanaume mwenye umri wa miaka 81 kwa mashitaka ya kubaka na kuua.
Kwa mujibu wa taarifa,...
MONACO, Ufaransa
DROO ya ratiba ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu wa 2026-27 ilichezeshwa jana, Agosti 27, 2026 mjini Monaco, Ufaransa. Ligi hiyo kwa...
LONDON, Uingereza
LEJENDARI wa Chelsea, Marcel Desailly, amesema kama kuna mchezaji asiyetakiwa kuingia tena kwenye kikosi cha timu hiyo, basi ni kipa Robert Sanchez.
Kauli ya...
MANCHESTER, Uingereza
KLABU ya Manchester United imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kuinasa saini ya beki wa Chelsea, Tosin Adarabioyo.
Katika dirisha kubwa hili la usajili wa...
OSLO, Norway
MFALME wa Norway, Harald V, amefariki akiwa na umri wa miaka 89, zikiwa ni siku chache zimepita tangu alipopelekwa hospitali kwa ajili ya...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
HATUA ya Dk. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais, na kisha kuvulishwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) imemuibua...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HATIMAYE kiatu cha Dk. Emmanuel Nchimbi katika nafasi ya Makamu wa Rais kimevaliwa na Deogratius John Ndejembi. Ni uamuzi uliotangazwa jana...
LONDON, Uingereza
ILIMCHUKUA sekunde 31 pekee straika wa Kibrazil, Joao Pedro, kuifungia bao Chelsea katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Fulham, mchezo wa Ligi Kuu...
TEHRAN, Iran
KATIBU Mkuu wa Hazina ya Marekani, Scott Bessent, amesema si tu Iran, bali hata nchi, taasisi na mashirika yatakayofanya biashara na Iran yataingia...
LOS ANGELES, Marekani
MAMILIONI ya wapenzi wa muziki wa Country kutoka pande zote za dunia wameguswa na kifo cha nguli Dolly Parton aliyefariki hivi karibuni...
BERLIN, Ujerumani
BMW imekuwa kampuni ya tano ya utengenezaji magari nchini Ujerumani kutangaza kupunguza wafanyakazi. Kampuni zilizotangulia kuchukua hatua hiyo ni VW, Porsche na Mercedes-Benz.
Hatua...