MANCHESTER, Uingereza
BEKI wa zamani wa Manchester City na timu ya Taifa ya Ujerumani, Jerome Boateng, ametangazwa kuwa kocha msaidizi wa Trabzonspor ya Ligi Kuu...
CATALUNYA, Hispania
MKURUGENZI wa ufundi wa Barcelona, Deco, ameweka wazi kuwa klabu hiyo haina mpango wa kumsajili kinda wa Manchester United, JJ Gabriel.
Gabriel , anahusishwa...
OSLO, Norway
STRAIKA wa timu ya Taifa ya Norway, Erling Haaland, amefunga mabao mawili na kuliwezesha chama lake kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya...
LONDON, Uingereza
MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Kai Havertz, amepata majeraha akiwa kwenye majukumu ya timu yake ya taifa ya Ujerumani.
Havertz na staa wa Sunderland, Brian Brobbey,...
NEW YORK, Marekani
WIZARA ya Mambo ya Nje ya Uingereza imeitahadharisha Iran ikiitaka kuacha jaribio lolote la kuishambulia nchi hiyo.
Aliyetuma ujumbe huo ni Katibu Mkuu...
MUNICH, Ujerumani
KLABU ya Bayern Munich imeripotiwa kuanza harakati za kuinasa saini ya winga wa Barcelona, Dani Olmo, ifikapo Januari, 2027.
Hatua ya Bayern kuanza kujipanga...
LOS ANGELES, Marekani
MWANAMUZIKI wa Hip hop, Yung Filly, atapandishwa kizimbani Juni, 2027, nchini Australia kujibu mashitaka ya ubakaji yanayomkabili.
Filly , alifunguliwa mashitaka hayo Julai,...
MILAN, Italia
SERIKALI ya Italia imepitisha sheria inayopiga marufuku wanafuzi wa kike kuvaa niqab wawapo shuleni.
Hata hivyo, sheria hiyo imeweka wazi kuwa katazo hilo...
WASHINGTON DC, Marekani
WAANDISHI wa habari wa CNN na MS NOW wamedai kuzuiwa kuingia kwenye hafla ya chakula cha usiku iliyofanyika Ikulu ya Marekani, wakisisitiza...
JERUSALEM, Israel
WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, haoni kama Serikali yake ilifanya kosa kutekeleza mashambulizi ya kijeshi Iran, Gaza na maeneo mengine ya Mashariki...