MADRID, Hispania
ZIMEIBUKA taarifa kuwa staa wa Real Madrid, Kylian Mbappe, anajaribu kununua kura za tuzo za mwaka huu za Ballon d'Or.
Hayo yamefichuliwa na kiungo...
Na Imani Nathaniel, Dar es Salaam.
HALOTEL imeboresha huduma yake ya mtandao wa internet ya Halofiber majumbani kwa kuongeza kasi ya internet mara tatu zaidi...
JAKARTA, Indonesia
WATU takribani 175,000 nchini Indonesia wameripotiwa kukabiliwa na magonjwa ya upumuaji, ikiwamo pneumonia.
Idadi hiyo, kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Indonesia, ni...
NEW YORK, Marekani
RAIS wa Marekani, Donald Trump, amekutana ana kwa ana na mwenzake wa Venezuela, Delcy Rodríguez, wakati wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa...
LONDON, Uingereza
LICHA ya kusajiliwa kwa matumaini makubwa ya kuingia kikosi cha kwanza, mambo yamekuwa tofauti kwa Alejandro Garnacho tangu atue Aston Villa.
Kwa sasa, zipo...
LONDON, Uingereza
BEKI wa kushoto wa Crystal Palace, Tyrick Mitchell, bado anawindwa na klabu kongwe za Ligi Kuu ya England, Manchester United na Liverpool.
Mtandao wa...
BUENOS AIRES, Argentina
CHAMA cha Soka cha Argentina (AFA) kimempa ofa ya mkataba mpya kocha wa timu yake ya Taifa, Lionel Scaloni.
Scaloni , amekuwa kwenye...
LONDON, Uingereza
NI suala la muda tu. Arsenal wako kwenye hatua za mwisho za kumpa mkataba mpya kiungo wake raia wa England, Declan Rice.
Hatua hiyo...
NAPOLI, Italia
KIUNGO wa Napoli, Kevin De Bruyne, amekanusha taarifa zilizodai kuwa alitaka kuondoka klabuni hapo wakati wa usajili wa kiangazi uliofungwa wiki chache zilizopita.
Wakati...
MADRID, Hispania
STRAIKA wa Real Madrid, Kylian Mbappe, amesema winga Michael Olise kuondoka Bayern Munich kutakuwa ni kuivunjia heshima klabu hiyo.
Mbappe ameibuka na ushauri huo...
MADRID, Hispania
KOCHA wa Real Madrid, Jose Mourinho, yuko tayari kumtema kwenye kikosi cha kwanza mshambuliaji wake raia wa Brazil, Vinicius Junior.
Kwa mujibu wa Gazeti...