Ads: info@gazetini.co.tz |
24.5 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Arsenal yapata pigo, Havertz aumia goti

LONDON, Uingereza MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Kai Havertz, amepata majeraha akiwa kwenye majukumu ya timu yake ya taifa ya Ujerumani. Havertz na staa wa Sunderland, Brian Brobbey,...

Uingereza: Iran isijaribu kutushambulia

NEW YORK, Marekani WIZARA ya Mambo ya Nje ya Uingereza imeitahadharisha Iran ikiitaka kuacha jaribio lolote la kuishambulia nchi hiyo. Aliyetuma ujumbe huo ni Katibu Mkuu...

Bayern yamfungia kazi Dani Olmo

MUNICH, Ujerumani KLABU ya Bayern Munich imeripotiwa kuanza harakati za kuinasa saini ya winga wa Barcelona, Dani Olmo, ifikapo Januari, 2027. Hatua ya Bayern kuanza kujipanga...

Amani ya kweli inaanza na utu

Na Mwandishi wetu, Gazetini AMANI si tu kutokuwepo kwa milio ya mabomu au kurejea kwa utulivu baada ya vita. Amani ya kweli inamaanisha watu kuishi...

Natamba nae kumrudisha Kelvin Bosco kwa kishindo

Na mwandishi wetu, Gazetini BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, mwimbaji wa muziki wa injili nchini, Kelvin Bosco, anatarajia kurejea kwenye muziki kwa kishindo...

Rapa Uingereza ana kesi ya ubakaji

LOS ANGELES, Marekani MWANAMUZIKI wa Hip hop, Yung Filly, atapandishwa kizimbani Juni, 2027, nchini Australia kujibu mashitaka ya ubakaji yanayomkabili. Filly , alifunguliwa mashitaka hayo Julai,...

‘Niqab’ zapigwa marufuku shuleni

MILAN, Italia SERIKALI ya Italia imepitisha sheria inayopiga marufuku wanafuzi wa kike kuvaa niqab wawapo shuleni. Hata hivyo, sheria hiyo imeweka wazi kuwa katazo hilo...

Waandishi waendelea kumkaanga Trump

WASHINGTON DC, Marekani WAANDISHI wa habari wa CNN na MS NOW wamedai kuzuiwa kuingia kwenye hafla ya chakula cha usiku iliyofanyika Ikulu ya Marekani, wakisisitiza...

Netanyahu: Israel haikosei kushambulia Iran, Gaza

JERUSALEM, Israel WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, haoni kama Serikali yake ilifanya kosa kutekeleza mashambulizi ya kijeshi Iran, Gaza na maeneo mengine ya Mashariki...

Papa Leo kuanza ziara yake Ufaransa

PARIS, Ufaransa KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, anaanza ziara yake ya siku nne mjini Paris, Ufaransa, huku waumini takribani 600,000 wakitarajiwa kumpokea. Rais...

Carlos: Ronaldo ana miaka mingine 10 ya kucheza

RIO, Brazil MKONGWE wa soka la Brazil, Carlos, amefichua kuwa Cristiano Ronaldo ana miaka mingine 10 ya kuendelea kucheza soka kabla ya kustaafu. Carlos akihojiwa na...

Kufuzu AFCON 2027 kumeanza kuchangamka!

CAIRO, Misri MECHI za kufuzu fainali zijazo za Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwakani zilianza kuchezwa jana Septemba 24, 2026. Timu ya Taifa ya Ghana ilianza...