Ads: info@gazetini.co.tz |
22.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Mwamba wa ‘unga’ aliyeisumbua Marekani kwa miaka 40

LOS ANGELES, Marekani ANAITWA El Mayo. Ndilo jina maarufu zaidi kuliko Ismael Zambada alilopewa na wazazi wake, akiwa pia ndiye muasisi wa genge hatari la...

Mashabiki Yanga, Simba wamejiandaa na VAR?

Na Hassan Mwasha MSIMU mpya wa Ligi Kuu Bara utaanzia Agosti 14, 2026. Ni msimu wa 2026-27, ambao utakuja na sura mpya kabisa katika historia...

Mlima wa Iran unaoipasua kichwa Marekani

TEHRAN, Iran UNAITWA Mlima Pickaxe. Unapatikana Kusini mwa Iran katika Jimbo la Isfahan, umbali wa maili 1.24 kutoka kilipo kinu cha nyuklia cha Natanz. Ulinzi...

New Bell: Gereza lenye lebo ya muziki kwa ajili ya wafungwa

YOUNDE, Cameroon NEW Bell ni moja ya magereza makubwa na maarufu si tu Younde na miji mingine jirani, bali Cameroon kwa ujumla. Wakati fulani, Shirika...

Houthi wanavyoongeza ugumu Mashariki ya Kati

Na mwandishi wetu, Gazetini WAKATI dunia ikiwa kwenye sintofahamu juu ya mustakabali wa vita vya Marekani na Iran, Kundi la kigaidi la Houthi nchini Yemen...

Marekani, Iran zatulia; bei ya mafuta yashuka

WASHINGTON DC, Marekani BEI ya mafuta katika soko la dunia imeshuka kwa asilimia 9, yakiwa ni matokeo ya mashambulizi ya Marekani na Iran kusimamia kwa...

Rais Ukraine awasili Uingereza

LONDON, Uingereza RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amewasili nchini Uingereza, ambako atakutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mpya, Andy Burnham. Zelensky atakuwa mgeni wa kwanza...

Wanasiasa wamnyima kibarua kocha Italia

MILAN, Italia ANDREA Pirlo amesema hawezi tena kupewa kibarua cha kuinoa timu ya soka ya Taifa ya Italia. Hiyo imesababishwa na wanasiasa. Iko hivi; Pirlo ni...

RaceBetter, Mont International School kutoa mafunzo ya kuogelea bure Dar

Na mwandishi wetu, Gazetini WADAU wa mchezo wa uogeleaji Tanzania wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya kiwango cha kimataifa kupitia programu ya wiki tatu iliyolenga kukuza...

Dhahabu ya Sh bilioni 1.2 yakamatwa Dar, Mavunde atoa onyo

Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imekamata dhahabu yenye uzito wa gramu 4,402.20 na thamani ya zaidi ya Sh bilioni 1.2 katika...

Rais wa Senegal azindua chama chake

DAKAR, Senegal RAIS wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amezindua chama kipya cha kisiasa kiitwacho Kiiray (Chama cha Wazalendo wa Jamhuri), hatua inayotajwa kuimarisha mgawanyiko...

Brazil yawapiga ‘stop’ viongozi wa Marekani

RIO, Brazil SERIKALI ya Brazil imewanyima vibali vya kuingia nchini humo viongozi wawili waandamizi wa Serikali ya Rais Donald Trump. Viongozi hao waliomba viza ya kuingia...