TEHRAN, Iran
Mvutano kati ya Marekani na Iran umechukua sura mpya baada ya jeshi la Marekani kushambulia meli ya mafuta katika Ghuba ya Uajemi, huku...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MTANZANIA, Gloria Majule, ameendelea kuiwakilisha vyema Tanzania katika jukwaa la kimataifa la sanaa baada ya kuibuka mshindi wa tuzo ya uandishi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Tanzania imepata nyongeza ya nguvu katika jitihada za kuhamia kwenye matumizi ya nishati safi baada ya TaTEDO – Sustainable Energy Services...
MIAMI, Marekani
NAHODHA wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi, amezipuuza taarifa zinazodai kuwa wanabebwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).
Messi...
MIAMI, Marekani
LEJENDARI wa soka, Zlatan Ibrahimovic, ameibuka baada ya timu ya soka ya Taifa ya England kufungwa mabao 2-1 na Argentina katika mchezo wa usiku...
LOS ANGELES, Marekani
SUPASTAA wa muziki raia wa Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon, amefichua sababu ya kuachana na Drake na kumsaini Wizkid kwenye lebo...
LAGOS, Nigeria
WARATIBU wa Shindano la Big Brother Naija wametangaza msimu mpya wa 2026, huku wakitaja zawadi iliyovunja rekodi ya miaka iliyopita.
Kwa msimu huu wa...
HARARE, Zimbabwe
RAIS wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ameendelea kutetea hatua ya Bunge kubadilisha Katiba na kumpa nyongeza ya kubaki madarakani hadi mwaka 2030.
Wakati huo huo,...
LOS ANGELES, Marekani
MOJA ya stori zilizotikisa tasnia ya burudani nchini Marekani ni hii ya mke wa zamani wa rapa Eminem, Kim Scott, kukimbizwa hospitali.
Katika tukio hilo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SIYO habari mpya kwamba mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, amejiunga na Newroz SC akitokea Al-Talaba, zote za Ligi Kuu...