Ads: info@gazetini.co.tz |
23 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Huyu ndiye tapeli hatari zaidi sekta ya Afya

LOS ANGELES, Marekani HIVI karibuni, Shirika la Ujasusi la Marekani (FBI) lilimtia mkononi mfanyabiashara maarufu, Ibrahim Khaldoon Hilmi, aliyekuwa akikimbia kukamatwa kwa miaka mingi. Khaldoom Hilmi...

Yanayowakuta Wapalestina magereza ya Israel yanatisha

JERUSALEM, Israel WANAHARAKATI wa haki za binadamu duniani wanataka kuona Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) ikiichunguza Israel juu ya uhalifu dhidi ya...

Shearer apanga kikosi cha ubingwa England

LONDON, Uingereza MKONGWE Alan Shearer ametaja 'first eleven' inayoweza kuipa ubingwa wa msimu wa Kombe la Dunia timu ya soka ya Taifa ya England. England chini...

Uholanzi kuivaa Morocco, Brazil mikononi mwa Japan

MEXICO CITY, Mexico KATIKA hatua ya 32 Bora ya msimu huu wa Kombe la Dunia, timu ya soka ya Taifa ya Uholanzi itakuwa na kibarua...

Hizi hapa zilizoaga Kombe la Dunia 2026

MEXICO CITY, Mexico JUMLA ya timu 10 zimeshaaga michuano ya msimu huu wa Kombe la Dunia baada ya Curacao kutolewa kwa kichapo cha mabao 2-0...

Hizi hapa zilizovuka makundi Kombe la Dunia 2026

CALIFORNIA, Marekani JUMLA ya timu 19 zimeshakata tiketi ya kucheza hatua ya 32 ya msimu huu wa fainali za Kombe la Dunia. Timu hizo zilizovuka makundi...

Huyu ndiye Mourinho, atoa kauli tata Kombe la Dunia

MADRID, Hispania KAMA kawaida yake. Kocha Jose Mourinho ni mtu wa kauli zenye utata, kama ambayo ameitoa safari hii juu ya fainali za Kombe la...

Mfumo wa E-Delivery kutathmini matokeo ya miradi utekelezaji wa Dira 2050

Na mwanishi wetu, Gazetini KATIKA utekelezaji wa Dira 2050, Mfumo mpya wa Kitaifa wa kusimamia Mipango na Miradi ya Maendeleo wa e-Delivery wa Tume ya...

Bandari ya Dar es Salaam yapaa duniani, yaongeza ufanisi

Na mwandishi wetu, Gazetini BANDARI ya Dar es Salaam imeibuka kinara wa ufanisi wa huduma za bandari katika ukanda wa Afrika Mashariki baada ya kupanda...

Maisha, utata wa kifo, maziko ya Rais Edgar Lungu (1)

Na mwandishi wetu, Gazetini HATIMAYE Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini imeitangazia ushindi familia ya Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, katika rufaa yake dhidi...

Sababu 4 Alvarez kutua Arsenal

LONDON, Uingereza STRAIKA wa Atletico Madrid, Julian Alvarez, ameweka wazi kuwa anataka kuondoka klabuni hapo majira haya ya kiangazi. Wakati Barcelona wakiwa wanapewa nafasi kubwa, zipo...

Africa’s Premier Agricultural Stage Returns — Bigger, Bolder, and More Connected Than Ever

The 10th Africa Agri Expo, co-located with the 3rd Future Food Livestock & Poultry Expo — 2nd & 3rd September 2026, Dar-es-Salaam, Tanzania. After nine...