MERSEYSIDE, Uingereza
WAKALA wa Mohamed Salah, Ramy Abbas Issa, ameibuka na kukanusha taarifa zinazodai kuwa mshambuliaji huyo amekubali kujiunga na Besiktas ya Ligi Kuu nchini...
KYIV, Ukraine
HATUA ya Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, kumuweka kando aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Mykhailo Fedorov, imezua mjadala ndani ya jeshi la nchi hiyo.
Baadhi...
TEHRAN, Iran
JESHI la Marekani limetibitisha kufanya shambulizi la usiku kwa mara ya saba mfululizo nchini Iran.
Huo ni mwendelezo wa Iran kushambuliwa usiku tangu Rais...
MIAMI, Marekani
ANAITWA Slavko Vincic, mwamuzi wa kati aliyeteuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kucheza mechi ya fainali msimu huu wa Kombe la...
BOSTON, Marekani
MSIMU huu wa Kombe la Dunia unaelekea ukingoni. Fainali itachezwa kesho Jumapili, Julai 19, 2026, katika Uwanja wa MetLife nchini Marekani, ikizikutanisha Argentina...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Licha ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kuendelea kujadiliwa katika ngazi mbalimbali, bado wananchi wengi hawajaielewa kwa kina, jambo linaloonyesha...
Na Esther Mnyika, Gazetini
MFUMO wa fedha ulio salama na unaoaminika ni nguzo muhimu ya ukuaji wa uchumi na kuvutia uwekezaji. Hata hivyo, mafanikio hayo...
BEIRUT, Lebanon
KUNDI linalohusishwa na ugaidi la Hezbollah limeionya Serikali ya Lebanon, likisema inaipeleka pabaya nchi hiyo ya Mashariki ya Kati.
Mbunge mwandamizi wa Hezbollah, Ali...
WASHINGTON DC, Marekani
RAIS Donald Trump ameibuka na madai kuwa wapinzani wao wakubwa kiuchumi, China, walitia mkono katika Uchaguzi Mkuu wa Marekani wa mwaka 2020.
Kwa mujibu...
LONDON, Uingereza
KOCHA wa zamani wa Manchester City, Pep Guardiola, amemtaja Neymar kuwa ndiye mchezaji aliyetamani zaidi kufanya naye kazi.
Wawili hao walipishana Barcelona kwani wakati Guardiola...