MOSCOW, Urusi
RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, ameimarisha vita vyake na Ukraine baada ya kutangaza ajira za wananjeshi wapya 15,500. Ni miaka minne na nususasa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
HIVI karibuni, Katibu wa Oganaizesheni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha, alitoa kauli iliyoibua mjadala mzito na wengine wakiitafsiri kuwa...
LONDON, Uingereza
ARSENAL walifungua pazia la msimu huu wa Ligi Kuu ya England wakiwa na matajirio ya kutetea ubingwa wao. Manchester City, Liverpool na...
LONDON, Uingereza
TEKNOLOJIA ya kumsaidia mwamuzi kwa kutumia marejeo ya video ilitambulishwa Ligi Kuu ya England kwa lengo la kuondosha utata wa makosa...
WASHINGTON DC, Marekani
HIVI karibuni, vyombo vya habari vitatu maarufu vya Marekani vilimshitaki mahakamani Rais Donald Trump baada ya kiongozi huyo kuvipiga marufuku kuingia Ikulu.
Vyombo...
MANCHESTER, Uingereza
LEJENDARI wa Manchester United, Gary Neville, amewataja Angel Di Maria na Antony kuwa ndiyo wachezaji wabovu zaidi kuwahi kusajiliwa na klabu hiyo tangu...
JERUSALEM, Israel
WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amedai kuwa viongozi wa vyama vya upinzani wameanza kuungana kwa lengo la kumtoa madarakani. Uchaguzi Mkuu unatarajiwa...
LISBON, Ureno
KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Ureno, Jorge Jesus, ameanika sababu ya kumuweka benchi nahodha wake, Cristiano Ronaldo, katika mchezo dhidi...
MUNICH, Ujerumani
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Colombia, Luis Diaz, anaamini staa mwenzake katika kikosi cha Bayern Munich, Harry Kane, ndiye anayestahili tuzo ya Ballon d’Or...