Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Idi Amin; Utata wa ‘birthday’, usaliti, na udikteta wake (2)

Na mwandishi wetu, Gazetini MWAKA 1932, wakati huo Idi Amin akiwa na umri wa miaka minne, kaka na dada yake walifariki. Ni kipindi hicho pia,...

Idi Amin; Utata wa ‘birthday’, usaliti, na udikteta wake (1)

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA siasa za Afrika na dunia kwa ujumla, Idi Amin ni mfano mzuri wa marais walioamua kuipuuza misingi ya demokrasia na...

Simba yaijibu Yanga, ‘yaitafuna’ Kagera Sugar

Na mwandishi wetu, Gazetini BAADA ya Yanga kuanza kwa ushindi msimu huu wa Ligi Kuu Bara (2026-27), Simba nayo imejibu mapigo kwa kuitandika Kagera Sugar...

Waziri Kabudi: Serikali itaendelea kuthamini mchango wa Lukuvi

Na mwandishi wetu, Gazetini WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, amesema Serikali itaendelea kuheshimu...

Kamati ya Bunge yaishauri Serikali kuiongeza wataalam OSHA

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeishauri Serikali kuiongezea wataalam Wakala wa Usalama na Afya Mahali...

Prof. Kabudi aongoza ibada ya kumaliza msiba wa Lukuvi

WAZIRIi wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Prof. Palamagamba Kabudi, ameongoza viongozi mbalimbali katika Ibada ya Misa Takatifu...

Tanzania yavutia Sh trilioni 9 za uwekezaji madini ndani ya miaka minne

Na mwandishi wetu, Gazetini SEKTA ya Madini nchini Tanzania imevutia uwekezaji wenye thamani ya Sh trilioni 9 ndani ya kipindi cha miaka minne, hatua ambayo...

Dk. Samia kuzindua JNHPP Agosti 22, mchango wake wafikia 44.9% gridi ya taifa

Na Mwandishi wetu, Gazetini RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) Agosti 22, 2026, katika eneo...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Madini

Na mwandishi wetu, Gazetini NI moja ya sekta muhimu yenye fursa kubwa ya kuchangia maendeleo ya nchi. Hii inatokana na utajiri wa rasilimali za madini,...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Ujenzi na milki

Na mwandishi wetu, Gazetini SEKTA hizi zitakuwa kiini cha ukuaji wa miji ya Tanzania, zikikidhi mahitaji yanayoongezeka ya makazi, miundombinu na huduma za umma, huku...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Uzalishaji viwandani

Na mwandishi wetu, Gazetini KUTEGEMEA kilimo pekee kwa muda mrefu ni changamoto kwa kuwa mabadiliko ya tabianchi, kuyumba kwa bei, misukosuko ya masoko duniani kunaweza...

Miaka mitano ya utawala wa Taliban nchini Afghanistan

KABUL, Afghanistan KWA wananchi wa Afghanistan, miaka mitano ya utawala wa Kundi la Taliban imekuwa ya mafanikio makubwa katika kurejesha amani nchini humo. Hata hivyo, wanalitaka...