LONDON, Uingereza
CHELSEA ilikuwa na nafasi ya kumsajili Yves Bissouma baada ya kiungo wake, Enzo Fernandez, kutimkia kwa washindano wao wa Ligi Kuu ya England,...
WASHINGTON DC, Marekani
VIGOGO wawili wa serikali ya Marekani, Steve Witkoff na Jared Kushner, wamezitembelea Urusi na Ukraine wikiendi hii.
Ripoti zinaeleza kuwa ziara hiyo imelenga...
LA PAZ, Bolivia
WATU wawili wamepoteza maisha katika mlipuko uliotokea katika kambi ya jeshi nchini Bolivia, ingawa mamlaka zinadai kuwa huenda idadi ya vifo ni...
TUNIS, Tunisia
MAHAKAMA nchini Tunisia imetoa agizo la kukamatwa na kushikiliwa kwa mwandishi wa habari maarufu, Mohamed Yousfi, jana Septemba 4, 2026.
Aidha, mahakama ilieleza kuwa...
LOS ANGELES, Marekani
ALIYEWAHI kuwa bingwa wa dunia kwa ngumi za uzito wa juu, Andy Ruiz Jr, amepoteza pambano lake la kwanza tangu alipopona majeraha.
Andy...
MADRID, Hispania
KOCHA wa Real Betis, Manuel Pellegrini, hajafurahishwa na kauli ya Jose Mourinho baada ya mchezo wa La Liga wa jana Septemba 4, 2026.
Baada...
CATALUNYA, Hispania
MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Lamine Yamal, amekosekana katika mazoezi ya mwisho ya timu hiyo kuelekea mchezo wao dhidi ya Valencia.
Timu hizo zitakwaana kesho Septemba...
ROMA, Italia
ZIPO taarifa zinazodai kuwa klabu ya AS Roma iko mbioni kumchukua beki aliyeachana na Bayern Munich, Raphael Guerreiro.
Kwa mujibu wa ripoti, kocha wa...
PARIS, Ufaransa
VIGOGO wa soka la Ufaransa, PSG, hawajaonja ushindi katika mechi zote tatu za msimu huu wa Ligi Kuu ya Ufaransa .
Wakiwa nyumbani jana...
LOS ANGELES, Marekani
FIGO ya nguruwe iliyopandikizwa kwa mgonjwa imemsaidia kuishi siku 271, kwa mujibu wa madaktari nchini Marekani.
Kwa mujibu wa mgonjwa huyo aliyefahamika kwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
YANGA watashuka dimbani katika ardhi ya ugenini mjini Gaborone, Botswana, kesho Septemba 5, 2026, kwa mchezo wa hatua ya awali ya...
LOS ANGELES, Marekani
TANGU Bill Clinton alipomaliza majukumu yake ya urais wa Marekani mwaka 2001, amekuwa akiishi Chappaqua, New York, makazi yaliyozungukwa na miti, na...