PARIS, Ufaransa
MWAKA 2011, matajiri wa kampuni ya Qatar Sports Investments ya Qatar walikuwa mezani na mabosi wa klabu ya kawaida tu, PSG. Matajiri wa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MJADALA wa kiwango cha mashambuliaji wa kimataifa wa Angola, Depu, tangu asajiliwe na Yanga umeshika kasi mitandaoni na hata vijiweni, wengi...
PARIS, Ufaransa
POLISI nchini Ufaransa wanawashikikia mashabiki zaidi ya 400 wa PSG waliosababisha vurugu katika maeneo mbalimbali nchini humo baada ya timu yao kutwaa taji...
LONDON, Uingereza
KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Jack Wilshere, anaamini klabu hiyo haitosubiri tena miaka 20 kufika fainali na kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa...
MANCHESTER, Uingereza
RUBEN Amorim alitimuliwa kwenye benchi Januari, 2026, na nafasi yake kuchukuliwa na kocha Michael Carrick, ambaye ameiwezesha Manchester United kurejea Ligi ya Mabingwa.
Ni...
MERSEYSIDE, England
LIVERPOOL wametangaza kumfuata kazi kocha wao raia wa Uholanzi, Arne Slot. Ametimuliwa leo Mei 30, 2026, zikiwa ni siku 365 tangu alipoajiriwa.
"Klabu ya...
BUDAPEST, Hungary
MATAJIRI wa Paris, PSG, wamelitetea taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa...
LONDON, Uingereza
AKIWA na umri wa miaka 16, bado David Raya hakuwa akifahamika katika ulimwengu wa soka. Alikuwa kipa asiye na nafasi ya kuanza hata...
LONDON, Uingereza
WIKIENDI hii, Washika Bunduki wa London, Arsenal, na matajiri wa Paris, PSG, watavaana katika mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Vita hiyo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TIMU ya soka ya Taifa ya U-17 ya Tanzania, Serengeti Boys, itashuka dimbani wikiendi hii, Juni 2, 2026, kumenyana na Senegal...
PRETORIA, Afrika Kusini
ZIKIWA ni siku chache tu zimepita tangu kocha wa zamani wa Yanga, Cedric Kaze, afukuzwe Kaizer Chiefs, ameanza mazungumzo na Sekhukhune United...