LONDON, Uingereza
KLABU ya Arsenal imeanza harakati za kumsajili moja kwa moja beki wake wa mkopo, Piero Hincapie.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 24, amekuwa...
MERSEYSIDE, Uingereza
KUNA uwezekano mkubwa huu ukawa msimu wa mwisho kwa kocha raia wa Uholanzi, Arne Slot, kuliongoza benchi la ufundi la Liverpool.
Wamiliki wa klabu...
CAIRO, Misri
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetangaza kuzisogeza mbele fainali za Mataifa Afrika kwa Wanawake (WAFCON).
Awali, michuano hiyo ilitarajiwa kuanza Marchi 17, 2026, lakini...
MILAN, Italia
KLABU mbili za Ligi Kuu ya Italia (Serie A), Inter Milan na Juventus, zinapigana vikumbo kuiwania saini ya kipa wa Liverpool, Alisson Becker.
Becker...
MADRID, Hispania
MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Rodrygo Goes, amepata majeraha ya goti yatakayomweka nje ya dimba kwa miezi isiyopungua 10.
Rodrygo alipata majeraha hayo katika mechi dhidi...
MANCHESTER, Uingereza
KIUNGO wa Manchester United raia wa Ureno, Bruno Fernandes, hajaeleweka juu ya hatima yake klabuni hapo. Ataondoka au atabaki? Haijajulikana.
Bruno amekuwa mchezaji muhimu...
PRETORIA, Afrika Kusini
VIGOGO wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini, Kaizer Chiefs, imeanza tena kuifuatilia saini ya mlinda mlango wa timu ya taifa ya Nigeria...
RIYADH, Saudi Arabia
SUPASTAA wa Al Nassr ya Ligi Kuu ya soka ya Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo, ameondoka nchini humo usiku wa manane akikimbia mashambulizi...
RIO, Brazil
KLABU ya Flamengo ya Brazil imetangaza kumfuta kazi kocha wake, Filipe Luis. Ni baada ya timu hiyo kushinda mabao 8-0 dhidi ya Madureira.
Flamengo...
MUNICH, Ujerumani
MANCHESTER City imeendelea kuipambania saini ya kiungo wa Borussia Dortmund, Felix Nmecha, ambaye anatajwa kuwa na thamani ya Pauni milioni 60.
Kwa mujibu wa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
ACHANA na tambo za mashabiki, sare ya kutokufungana ndiyo iliyohitimisha dakika 90 za mchezo wa 'derby' ya Kariakoo kati ya wenyeji...