LONDON, Uingereza
MSHAMBULIAJI wa timu ya soka ya taifa ya Marekani, Trinity Rodman, amekuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi duniani kwa upande wa soka la...
LONDON, Uingereza
KWA mujibu wa utafiti wa Taasisi ya Women in Sport kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Leeds Beckett, wanawake waliopo katika taaluma ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SIKU chache baada ya kutoka sare ya kutokufungana dhidi ya Simba, Yanga imeibuka na kuitwanga barua nzito Kamati ya Uendeshaji ya...
RIO, Brazil
MSHAMBULIAJI huyo wa zamani wa Manchester United na West Ham za England, Jesse Lingard, ametua Ligi Kuu ya Brazil baada ya kusajiliwa na...
MANCHESTER, Uingereza
KLABU ya Manchester City imeanza mazungumzo ya kumsajili kiungo wa Bayern Munich, Aleksandar Pavlovic.
Nyota huyo ana umri wa miaka 21 na ameshacheza mechi...
MANCHESTER, Uingereza
BEKI wa zamani wa Manchester, Patrice Evra, amewatolea uvivu wakongwe wenzake wa timu hiyo, Paul Scholes, Gary Neville na Roy Keane, akiwaambia waache...
RIYADH, Saudi Arabia
MSHAMBULIAJI wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, atakuwa nje ya dimba kwa muda na hiyo imezua hofu kuwa huenda akazikosa fainali zijazo za Kombe...
Na Mwandishi Wetu,Gazetini
KLABU za Simba na Yanga zimetozwa faini ta sh.5,000,000 kila moja kwa kosa la walinzi wake kugombana na kutoleana lugha za matusi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MWAMUZI Kassim Mpanga Mpanga wa Dar es Salaam, amefungiwa miezi sita kosa la kukataa bao halali la Simba wakati wa mchezo...
Na Winfrida Mtoi
MABONDIA wa ngumi za kulipwa, Halima Ramadhani maarufu Vunjabei na Sara Alex wanatarajia kupanda ulingoni Machi 21, 2026 kusaka heshima ya Tanzania...
MANCHESTER, Uingereza
RADA za maskauti wa Manchester United zimemnasa beki wa pembeni wa Borussia Dortmund, Julian Ryerson. Anatakiwa Old Trafford kwa ajili ya msimu ujao.
Ryerson...