Ads: info@gazetini.co.tz |
28.9 C
Dar es Salaam

Michezo

Unabeti kama starehe au na wewe umeshaigeuza ajira?

Na mwandishi wetu, Gazetini SHIDA kubwa tuliyonayo ngozi nyeusi ni kushindwa kutofautisha kati ya jambo la starehe na lile la lazima/muhimu. Hao ndipo tunapofeli. Huwa tunaanza...

Anguko la Leicester City kutoka ubingwa EPL hadi ‘mchangani’

LONDON, Uingereza MIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliushangaza ulimwengu wa soka walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL). Walifanya hivyo msimu wa 2015-16. Kwa sasa,...

Man City wapishana na Mbappe

MADRID, Hispania MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Kylian Mbappe, huenda asicheze dhidi ya Manchester City katika mchezo wao ujao wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. Timu hizo zitakwaana...

Aucho asimamishwa Singida Bs kwa utovu wa nidhamu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KIUNGO Khalid Aucho amesimamishwa kwa miezi mitatu na klabu yake ya Singida Black Stars kwa kosa la utovu wa nidhamu na...

Yanga v Simba; ‘Kariakoo Derby’ ya maswali mengi ndani ya uwanja

Na mwandishi wetu, Gazetini YANGA itakuwa mwenyeji wa mchezo kuwakaribisha wapinzani wao, Simba, katika dakika 90 za mtoto, ukiwa ni mwendelezo wa Ligi Kuu Bara...

Wapinzania wa Simba, Yanga Kombe la Shirikisho hatua 32

Na Winfrida Mtoi DROO ya hatua ya 32 wa Kombe la Shirikisho  msimu wa 2025/26, imefanyika leo Februari 24, 2026 ambapo Simba imepangwa  dhidi ya...

Buba Jammeh; Ukiweka kushoto sawa, kulia anakumaliza kabisa!

Na mwandishi wetu, Gazetini NDIYE aliyefunga mabao yote katika ushindi wa 2-0 walioupata Yanga 'Timu ya Wananchi' katika mchezo uliopita dhidi ya Cosmo Politan. Ulikuwa ni...

Viwanja vya soka vikubwa zaidi duniani

LONDON, Uingereza UKIWA na uwezo wa kupokea mashabiki 132,000, Uwanja wa Narendra Modi ndiyo mkubwa zaidi katika ulimwengu wa mchezo wa soka. Uwanja huo uko...

Maktaba| Kiti kilivyosababisha ‘bifu’ la Henry, Nasri

Na mwandishi wetu, Gazetini MAKTABA ni safu mpya itakayokuwa ikikujia kupitia hapa GAZETINI, ikilenga kukupa simulizi za mikasa ya ndani na nje ya uwanja ya...

CAF yaipa Kenya siku 90 tu

NAIROBI, Kenya TIMU ya wakaguzi ya Shirikisho la Soka l Afrika (CAF) haijaridhishwa na kiwango cha maandalizi yaliyofanyika kwa ajili ya fainali zijazo za AFCON...

Madrid yabisha hodi UEFA ‘ishu’ ya Vinicius

MADRID, Hispania Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ilisimama kwa dakika 10 baada ya Vinicius kumlalamikia mwamuzi kuwa mchezaji wa Benfica, Gianluca Prestianni, amemwita...

Arsenal kuchomoa kinda Madrid

LONDON, Uingereza ARSENAL inaongoza katika mbio za kuiwania saini ya kinda wa Real Madrid,  Victor Valdepenas, kwa mujibu wa Gazeti la AS la Hispania. Nyota huyo...

Recent articles