Ads: info@gazetini.co.tz |
24.8 C
Dar es Salaam

Kitaifa

‘180 bure’ ilivyobadili sura ya Kitengo cha Miito ya Simu TANESCO

Na Hassan Mwasha, Gazetini SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (TANESCO) lina mengi ya kujivunia katika miaka ya hivi karibuni lakini kubwa zaidi ni uboreshaji...

MO Dewji: Simba ni kubwa kuliko changamoto tunazopitia

Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji, amewataka wanachama na mashabiki wa klabu hiyo kutogawanyika, akisisitiza kuwa Simba ni kubwa kuliko changamoto yoyote inayokabili klabu...

UDOM yang’ara Nanenane kwa ubunifu, teknolojia

Na mwandishi wetu, Gazetini CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kuthibitisha nafasi yake kama kitovu cha utafiti, ubunifu na teknolojia nchini baada ya kuwasilisha bunifu...

Wachimbaji Namungo waomba mafunzo ya OSHA

Na mwandishi wetu, Gazetini WACHIMBAJI wadogo wa Mgodi wa Namungo wameiomba Serikali kupitia Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuwapatia mafunzo ya...

Rais Samia azindua tume ya uchunguzi wa ghasia za uchaguzi 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amezindua Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia...

TARURA yatajwa miongoni mwa taasisi bora za miundombinu Afrika

Na mwandishi wetu, Gazetini RAIS wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania, Wakili Boniventure Mwambaja, amesema anaiona Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...

WMA yawafundisha watoto vipimo, Naibu waziri apongeza

na mwandishi wetu, Gazetini NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Chande, amefurahishwa na uelewa mkubwa ulioonyeshwa na wanafunzi waliopata elimu ya vipimo katika banda...

Heche: Bila kujitoa hata Lissu atakata tamaa

Na mwandishi wetu, Gazetini Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amewataka wanachama wa chama hicho kuongeza kiwango cha kujitolea katika...

Prof. Kabudi ahimiza amani Kilosa, atangaza mikakati kuimarisha kilimo

Na mwandishi wetu, Gazetini WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka wananchi wa Jimbo...

Awamu ya I uvutaji nyaya Chalinze-Dodoma yakamilika

Na mandishi wetu, Gazetini SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema Mkandarasi  amekamilisha  kwa mafanikio awamu ya kwanza ya kazi za uvutaji wa nyaya katika eneo...

Rais Samia: Vijana wa Afrika wasiwe watumiaji wa teknolojia pekee

Na mwandishi wetu, Gazetini RAIS wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Afrika inapaswa kuwekeza zaidi katika elimu, ujuzi wa ufundi na uwezo wa kidijitali...

Your Gateway to Tanzania’s Booming Agriculture, Livestock & Food Industry

2–3 September 2026 | Mwalimu J.K. Nyerere Trade Fair Grounds, Dar es Salaam, Tanzania Africa's agriculture, livestock, and food processing sectors are entering a new...

Recent articles