Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Chadema yakana kufanya mazugumzo na Serikali

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIBu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema, John Mnyika, amesema chama hicho pamoja na Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, hadi...

PBPA yatoa elimu kuhusu mfumo wa uagizaji mafuta kwa pamoja

Na mwandishi wetu, Gazetini WAKALA wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) unasimamia Mfumo wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja, ambao umeisaidia Serikali kuhakikisha bidhaa za mafuta...

Usajili unaoakisi uchumi wa klabu au mfuko wa tajiri?

Na Hassan Mwasha NIMEFUATILIA ubize wa vigogo wa soka la Tanzania, Yanga na Simba, katika soko la usajili wa dirisha kubwa kuelekea msimu mpya wa...

Dk. Mwigulu atoa siku 14 kituo cha Oparesheni kuanza kazi

Na Faraja Mulungu, Gazetini WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, ametoa siku 14 kwa wizara na taasisi zote zinazohusika na...

Mahakama ya Rufani yakataa maombi ya DPP kesi ya Lissu

Na mwandishi wetu, Gazetini MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameibuka mshindi tena dhidi ya Jamhuri katika hatua nyingine ya kesi...

Binti aliyefaulu Kidato cha Tano aokolewa kabla ya kuozeshwa Shinyanga

Na Mwandishi Wetu, Shinyanga JUHUDI za Serikali za kupambana na ndoa za utotoni zimezaa matunda mkoani Shinyanga baada ya operesheni maalumu kumuokoa binti aliyekuwa amefaulu...

Peter Shalulile amekuja na viatu vyake vya mabao?

Na Hassan Mwasha KATIKATI ya ushindani wa Kaizer Chiefs, Orlando Pirates, Scottland FC na Pyramids, Yanga imeweza kumnyakua straika aliyeondoka Mamelodi Sundowns, Peter Shalulile. Yanga wameishitua...

Harmonize, Kajala wanaelea anga za Cardi B, Offset

Na Hassan Mwasha MIONGONI wa strori zinazoshika nafasi kubwa mitandaoni ni hii ya staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali 'Harmonize', kuachana na bibiye wa...

Megawati 2,115 za Bwawa la Nyerere mbioni, Tanesco yatoa ratiba

Na Faraja Mulungu, Gazetini SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza kuwa ujenzi wa njia mpya ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze...

YouTube inavyolibeba soko la tamthilia Bongo

Na Hassan Mwasha KAMA ni mfuatiliaji wa tamthilia za Tanzania zinazorushwa kupitia vituo vya televisheni pekee, basi ni wazi unapitwa na mengi. Jiongeze! Kwa sasa, mtandao...

Mashabiki Yanga, Simba wamejiandaa na VAR?

Na Hassan Mwasha MSIMU mpya wa Ligi Kuu Bara utaanzia Agosti 14, 2026. Ni msimu wa 2026-27, ambao utakuja na sura mpya kabisa katika historia...

Hao ni wachambuzi au ‘wachafuzi’ wa Bongo Fleva?

Na Hassan Mwasha, Gazetini KICHEFUCHEFU! Ndicho unachoweza kuhisi pindi tu unapoingia kwenye mitandao ya kijamii na kukutana na hao wanaojiita 'wachambuzi' wa muziki wa kizazi...

Recent articles