Ads: info@gazetini.co.tz |
25.5 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Watu tisa wafariki dunia, 44 wajeruhiwa ajali ya basi na Lori Morogoro

Na Mwandishi Wetu Watu tisa wamefariki dunia na wengine 44 kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Hai lenye namba za usajili T523 EKM...

Rais Samia asisitiza maadili kwa Jeshi la Polisi

Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan amewaasa wahitimu wa kozi ya maafisa na wakaguzi wasaidizi wa Jeshi la Polisi kuwa mabalozi wa maadili na...

Tanzania yaadhimisha Siku ya Bahari Duniani kwa kusisitiza uchumi wa buluu endelevu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Juni 8, 2025, Tanzania iliungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Bahari Duniani — siku muhimu ya kutoa wito wa...

Dk. Biteko aatoa maagizo matatu  Wizara ya Maliasili, asema dunia inaangalia Tanzania na  Afrika Mashariki kuwa kitovu cha utalii

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa maonesho ya utalii ya Karibu– Kilifair yanaendelea kukuwa kimataifa na...

Gugu asisitiza umuhimu wa ushirikiano Kikanda kukabiliana na uhalifu

Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,  Ally Gugu, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kikanda katika kukabiliana na uhalifu unaovuka...

Rais Samia aongoza harambee uchangiaji ujenzi kituo cha watoto, achangia milioni 150

Na Mwandishi Wetu Rais  Samia Suluhu Hassan ameongoza Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye mahitaji Maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre ambapo...

Serikali itaendelea kuisimamia sekta ya afya-Majaliwa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu itaendelea kuisimamia na kuipa hadhi sekta ya...

TANESCO yatakiwa kubuni vyanzo vipya vya umeme

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuendelea na kasi...

Elimu bila malipo kuendelea, kuboresha mazingira ya wanafunzi 2025–2030

Na Jonathan Benedict, Gazetini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani yake ya Uchaguzi ya mwaka 2025–2030, kimeweka mkazo mkubwa katika kuboresha maisha ya watoto wa...

Ilani ya CCM: Malezi na ulinzi wa mtoto kuimarishwa

Na Jonathan Benedict, Gazetini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka dhamira ya dhati ya kuimarisha ulinzi, malezi na maendeleo ya watoto kupitia Ilani yake ya Uchaguzi...

JET yaonya uwindaji haramu wa kasa

*Yasema unatishia uhai wa binadamu na bahari Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mei 23, ni Siku ya Kimataifa ya Kasa wa Baharini, Chama cha Waandishi wa Habari...

TACAIDS na CDC kuimarisha mikakati ya uendelevu wa Mwitikio wa UKIMWI nchini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) kwa kushirikiana na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) nchini Tanzania wamekutana...

Recent articles