Na mwandishi wetu, Gazetini
MAGEUZI ya Kidijitali ni kichocheo kingine muhimu cha maendeleo katika karne hii ya 21. Kwa maana nyingine, mageuzi ya kidijitali ni...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KADRI nchi inavyoendelea, utfiti na maendeleo ni nyenzo muhimu katika kuongeza ubunifu, kutatua changamoto za ndani, na kuongeza tija katika uzalishaji.
Vilevile,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
TANZANIA imeweka lengo la kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034, huku Serikali ikisisitiza ushiriki...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WAKATI maumivu ya kupokonywa Selemani Mwalimu yakiwa hayajapoa, Yanga imeipiga tena Simba kwenye mshono kwa kuifunga bao 1-0 na kutwaa taji...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SAYANSI na Teknolojia zinachochea ubunifu na kuongeza tija na ushindani. Hivyo basi, sayansi na teknolojia ni vichocheo muhimu vinavyoleta tija, ufanisi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UPATIKANAJI wa nishati ya uhakika ni kichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi na maendeleo ya jamii. Umuhimu wa nishati unajidhihirisha kuanzia...
Na mwandishi wetu, Gazetini
VICHOCHEO vya maendeleo ni nyenzo muhimu katika kuongeza kasi ya kufikia malengo ya Dira 2050. Kwa kutambua hilo, Dira hii imebainisha...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SERIKALI ya Tanzania na Benki ya Dunia zimefanya kikao cha pamoja cha kuhitimisha maandalizi ya kitaalamu ya Programu ya Uendelezaji wa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TUME ya Utumishi wa Umma imesema serikali ina nia ya dhati ya kuhakikisha watumishi wa umma wanakuwa salama na wenye afya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amewasha umeme katika Kitongoji cha Mwanubi mkoani Shinyanga na kusema kuwa huduma ya umeme ni hitaji...
Na Hassan Mwasha
SERIKALI za Mitaa hapa nchini zimepitia mabadiliko mbalimbali kwa nyakati tofauti. Mathalan, mwaka 1962, Serikali ilifuta utawala wa kimila na kuanzisha Serikali...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MKUU wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, amekipongeza Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kwa kuendelea kuandika na...