Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Singida Black Stars na safari yao ya kibabe CAF

Na mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kuisukuma nje ya mashindano Rayon Sports ya Rwanda, Singida Black Stars wameonga mbele na kuingia hatua ya pili ya...

Ramani ya Simba kuingia makundi CAF

Na mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kuing'oa Gaborone United ya Botswana, sasa Simba itaivaa Nsingizini Hotspurs ya Ligi Kuu ya Eswatini katika raundi ya pili...

Kanisa la Anglikana lavunja mwiko wa miaka 500

London, UINGEREZA KWA mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake takribani miaka 500 iliyopita, Kanisa la Anglikana limeandika historia mpya baada ya kumteua, Dame Sarah Mullally...

Dk. Jane Goodall ‘Mama wa Sokwe’ ameondoka, lakini kazi yake itaishi

Mwandishi Wetu, Gazetini MTAFITI maarufu duniani wa maisha ya wanyama, hususan sokwe, Dk. Jane Goodall, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91 nchini Marekani. Taarifa...

Fact Check| Hakuna msafara wa Dk. Samia uliopata ajali

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Taarifa zinazosambazwa Jumatano, Oktoba 1, 2025 kwenye mitandao ya kijamii zikidai kutokea kwa ajali katika msafara wa mgombea urais wa Jamhuri...

Mabosi Mwendokasi wang’olewa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa mabosi wapya wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) maarufu Mwendokasi kwa kuwaondoa Mtendaji  Mkuu...

Udumavu kwa watoto wapungua nchini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kiwango cha udumavu miongoni mwa watoto walio chini ya miaka mitano nchini kimepungua kutoka asilimia 48...

Kocha Yanga: Hatukuwa na bahati kwa Mbeya City

Na Hassan Mwasha, GazetiniBAADA ya suluhu katika mchezo wao wa leo dhidi ya Mbeya City, kocha wa Yanga, Romain Folz, ameeleza kilichowanyima ushindi katika...

Wananchi wa aina hii wanaijua thamani ya boksi la kura?

Na Hassan Mwasha, GazetiniMIKUTANO ya kampeni inaendelea kote nchini. NI takribani mwezi mmoja tu umebaki kabla ya Watanzania kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika...

Jinsi ya kukabiliana na taarifa za uzushi mitandaoni

Na Winifrida Mtoi, Gazetini TAARIFA za uzushi zimeendelea kusambaa kwa kasi kubwa katika mitandao ya kijamii, hasa kutokana na ongezeko la watumiaji wa majukwaa hayo...

Chart| Kilimanjaro kinara kwa idadi ya wazee Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KULINGANA na takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 zilizotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebaini...

Recent articles