Ads: info@gazetini.co.tz |
27.2 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Wizara ya Ulinzi kuanza kufufua viwanda kwa ushirikiano na sekta binafsi

Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) imesema inaweka mkazo kwenye ushirikiano na sekta binafsi katika kufufua viwanda vya...

Tanzania, Namibia zaahidi kukuza ushirikiano wa kiuchumi, nishati na biashara

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Namibia zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi, hususan...

Rais wa Namibia kufanya ziara nchini

Na Mwandishi Wetu Rais wa Jamhuri ya Namibia, Dk. Netumbo Nandi-Ndaitwah anatarajiwa kuwasili nchini  kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili itakayoanza kesho Mei...

Askari JWTZ ashikiliwa Polisi akituhumiwa kuendesha gari akiwa amelewa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Jeshi la Polisi mkoani Morogoro  limemkamata Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Daines Faustine (33) kwa tuhuma za kukutwa...

Dk. Jafo ataka TBS kutoa elimu madhara ya unywaji pombe kupita kiasi

Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, amelitaka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kushirikiana na taasisi nyingine kutoa elimu kwa...

Dk. Biteko afanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Morocco

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ametembelea Bunge la Morocco ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi...

Rais Mwinyi: Tutamuenzi Charles Hilary kwa utendaji wake

Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza viongozi mbalimbali na mamia ya Wananchi katika maziko...

Rais wa Finland ziarani nchini, Rais Samia ampokea

Na Mwandishi Wetu Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, amewasili nchini na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan, kisha kukagua  gwaride la...

Tanzania, Ivory Coast zajadiliana fursa za kilimo

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Robert Beugre Mambe na kujadiliana naye masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia,...

Msajili Hazina: Ni wakati wa Tanzania kunadi fursa za uwekezaji kimataifa

Na Mwandishi Wetu,Ivory Coast KATIKA jukwaa kubwa la viongozi wa taasisi za kibiashara barani Afrika, maarufu kama Africa CEO Forum, Tanzania imeendelea kujidhihirisha kama taifa...

Bunge lapitisha Bajeti ya Trilioni 2.44 wizara ya elimu

Na Ramadhan Hassan, Gazetini- Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Sh Trilioni 2.44 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kwa ajili...

Rais Samia aongoza  mazishi ya Hayati Cleopa Msuya,  ataja mambo ya kujifunza

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Cleopa Msuya...

Recent articles