Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Kitaifa

TCCIA: Rostam Aziz ni mfano bora wa kuigwa kwa wawekezaji nchini

*Yagusia suala la Tancoal Na Mwandishi Wetu, Gazetini CHEMBA ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) imetoa rai kwa Serikali kuweka sera madhubuti zitakazowawezesha Watanzania kushiriki...

THBUB yawaasa waandishi wa habari kuelekea uchaguzi mkuu

Na Onesmo Kapinga, Gazetini TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imewaasa waandishi wa habari nchini, kujiepusha kuchapisha, kutangaza habari zenye lengo la...

Utajiri uliojificha matamasha ya Simba, Yanga

Na mwandishi wetu, GazetiniHIVI karibuni, klabu kongwe za soka hapa nchini, Simba na Yanga, zilikuwa 'bize' kwa shamrashamra za matamasha yake ya ufunguzi wa...

DC Nyamagana: Serikali inatambua kazi nzuri ya OSHA nchini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MKUU wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi, amesema serikali inatambua kazi nzuri inayofanywa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa...

Yanga yafikisha mabao matano ya ‘derby’

Na Hassan MwashaKATIKA mechi sita za 'derby' ya Ngao ya Jamii, imekuwa ni mara ya tatu kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0...

EU, WWF watoa vifaa vya zaidi ya sh bilioni 1 kusaidia ulinzi wa misitu Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WIZARA ya Maliasili na Utalii imepokea jumla ya vifaa 74 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni moja kwa ajili ya...

Ngao ya Jamii Zanzibar kuchezwa kesho

Na mwandishi wetu, GazetiniMCHEZO wa Ngao ya Jamii kati ya Mlandege FC na KMKM SC unatarajiwa kuchezwa kesho katika Uwanja wa New Amaan Complex,...

Ajali yaua wanafunzi kidato cha sita Rorya

Na Mwandishi Wetu,Gazetini Watu saba wamefariki dunia wakiwamo wanafunzi wawili wa kidato cha sita wa shule ya Sekondari Songe, Musoma baada ya gari Toyota Succeed walilokuwa wakisafiria...

Chikomo, Dk. Otaru waibeba Tanzania mapambano dhidi ya ukame, mmomonyoko wa ardhi

-Wakiwa viongozi wa JET, sasa wanaiwakilisha Tanzania katika nafasi za juu za Umoja wa Mataifa chini ya mkataba wa UNCCD. Na Mwandishi Wetu, Gazetini Tanzania imeendelea...

Waziri Mkuu amtaka Balozi wa Tanzania nchini Japan kuhamasisha uwekezaji

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka Balozi wa Tanzania nchini Japan, Anderson Mutatembwa kusimamia utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ikiwa ni...

INEC yatoa wito kwa asasi za kiraia kuelekea uchaguzi mkuu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imezitaka taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura...

Taifa Group Limited yatoa ufafanuzi kuhusu miamala ya TANCOAL na WDL

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Bodi ya Wakurugenzi ya Taifa Group Limited, imetoa ufafanuzi juu ya tuhuma zilizotolewa hivi karibuni kuhusu miamala iliyofanywa na kampuni zetu...

Recent articles