27.2 C
Dar es Salaam

Watoto

    Huduma duni na ukatili wa kijinsia watajwa kuvuruga haki ya uzazi vijijini

    Na Samwel Mwanga, Maswa KATIKA jamii nyingi za vijijini nchini Tanzania, hususan katika wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, masuala ya haki ya uzazi na ukatili...

    ‘Bluetoothing’ yageuka janga Fiji, maambukizi ya VVU yaongezeka mara kumi

    Suva, FIJI Fiji sasa inakabiliwa na mlipuko mkubwa wa Virusi vya Ukimwi (VVU), huku wataalamu wakionya kuwa nchi hiyo iko katika “dhoruba kamili” ya kiafya...

    Udumavu kwa watoto wapungua nchini

    Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kiwango cha udumavu miongoni mwa watoto walio chini ya miaka mitano nchini kimepungua kutoka asilimia 48...

    Ubungo yatenga zaidi ya milioni 28 kwa malezi ya awali ya watoto

    Na Patricia Kimelemeta, Gazetini MANISPAA ya Ubungo imetengea bajeti ya fedha zaidi ya Sh milioni 28 kwa ajili ya utekelezaji wa Programu Jumuishi ya Malezi,...

    OSHA kuiwezesha shule ya Kambangwa vifaa vya kujifunzia

    Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAKALA wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeahidi kuiwezesha Shule ya Sekondari Kambangwa iliyopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam...

    Dira ya Maendeleo 2050 yasisitiza malezi bora ya watoto nchini

    Na Patricia Kimelemeta, Gazetini DIRA ya Maendeleo ya Mwaka 2020-2050 imeitaka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuimarisha uchumi wa kati wa kiwango cha juu sambamba na...

    Ahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa shambulio la aibu kwa mtoto

    Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, Agosti 18, 2025 imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela kwa mtuhumiwa Idd...

    Watetezi wa haki za watoto wapewa mafunzo ya kuimarisha ushiriki kimataifa

    Na Nora Damian, Gazetini Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeendesha mafunzo maalum kwa Watetezi wa Haki za Watoto, yakilenga kuwaongezea ujuzi...

    IWPG names Jeon Na Yeong as new Chairwoman

    Seoul, South Korea The International Women’s Peace Group (IWPG) officially appointed Jeon Na Yeong as its new chairwoman during a farewell and inaugural ceremony held...

    Mila kandamizi zinavyotesa wanawake wenye changamoto za uzazi, IVF yaibua tumaini jipya

    Na Mwandishi Wetu, Gazetini Wakati dunia ikibadilika kwa kasi kupitia maendeleo ya teknolojia na tiba za kisasa, barani Afrika bado kuna mamilioni ya wanawake wanaoendelea...

    Watoto yatima watano wafariki dunia kwa moto

    Na Mwandishi Wetu Watoto watano waliokuwa wanalelewa katika kituo cha watoto yatima cha Igambilo Manispaa ya Tabora, wamefariki dunia baada ya bweni walililokuwa wamelala kuteketea...

    DAS Kinondoni aipongeza MONTI International kwa kuibua, kulea vipaji vya watoto

    Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Dar es Salaam Katibu tawala wilaya ya Kinondoni - DAS, Warda Abdallah ameipongeza Shule ya Kimataifa ya Monti kwa kuibua na kulea...

    Recent articles

    spot_img