Ads: info@gazetini.co.tz |
24.4 C
Dar es Salaam

Watoto

DAS Kinondoni aipongeza MONTI International kwa kuibua, kulea vipaji vya watoto

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Dar es Salaam Katibu tawala wilaya ya Kinondoni - DAS, Warda Abdallah ameipongeza Shule ya Kimataifa ya Monti kwa kuibua na kulea...

Rais Samia aongoza harambee uchangiaji ujenzi kituo cha watoto, achangia milioni 150

Na Mwandishi Wetu Rais  Samia Suluhu Hassan ameongoza Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye mahitaji Maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre ambapo...

Elimu bila malipo kuendelea, kuboresha mazingira ya wanafunzi 2025–2030

Na Jonathan Benedict, Gazetini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani yake ya Uchaguzi ya mwaka 2025–2030, kimeweka mkazo mkubwa katika kuboresha maisha ya watoto wa...

Ilani ya CCM: Malezi na ulinzi wa mtoto kuimarishwa

Na Jonathan Benedict, Gazetini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka dhamira ya dhati ya kuimarisha ulinzi, malezi na maendeleo ya watoto kupitia Ilani yake ya Uchaguzi...

Wazazi saidieni malezi ya watoto ili kuboresha taaluma

Na Malima Lubasha, Gazetini– Serengeti Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mapinduzi iliyoko wilayani Serengeti, mkoa wa Mara, Jumanne Nyamhanga, amewataka wazazi na walezi kushirikiana...

Mabadiliko ya tabianchi yanavyotishia ustawi wa ndoto za watoto Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mabadiliko ya tabianchi ni changamoto inayoendelea kuathiri maisha ya watu duniani kote, hasa watoto ambao ni miongoni mwa makundi yaliyo hatarini...

Wataalamu waonywa matumizi ya madini ya zebaki kuziba meno

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Wataalamu wa afya ya kinywa na meno kutoka nchi za Afrika Mashariki wameaswa kuacha matumizi ya dawa za kuziba meno zenye...

TPC Moshi yaboresha elimu kupitia ufadhili na miundombinu ya kisasa

Na Safina Sarwatt, Moshi Zaidi ya wanafunzi 1,000 kutoka familia zenye mazingira duni wamefaidika na mpango wa ufadhili wa masomo ulioanzishwa na Kiwanda cha Sukari...

Kiwanda cha Sukari TPC kinavyochochea maendeleo ya elimu Kilimanjaro

Na Safina Sarwatt, Gazetini-Kilimanjaro Wanafunzi 68 wa kike wa shule ya sekondari ya TPC, mkoani Kilimanjaro, wamepokea ahueni kubwa baada ya kiwanda cha sukari cha...

IWPG hosts final ceremony for 6th International Loving-Peace Art Competition

The International Women’s Peace Group (IWPG), under the leadership of Chairwoman Hyun Sook Yoon, concluded the 6th International Loving-Peace Art Competition with an online...

Serikali yasisitiza umuhimu wa kuondoa madini ya risasi kwenye rangi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kuhimiza hatua za kuondoa madini ya risasi kwenye rangi, likisisitiza madhara makubwa ya kemikali hiyo...

Shule ya Sekondari Mt. Joachim inavyoandaa vijana kwa maendeleo ya Taifa

Safina Sarwatt, Gazetini-Same Mwaka 2013, Kanisa Katoliki Jimbo la Same lilianzisha shule ya sekondari ya wavulana, Mchepuo wa Sayansi ya Mtakatifu Joachim. Lengo kuu la...

Recent articles