Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Jamii

‘180 bure’ ilivyobadili sura ya Kitengo cha Miito ya Simu TANESCO

Na Hassan Mwasha, Gazetini SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (TANESCO) lina mengi ya kujivunia katika miaka ya hivi karibuni lakini kubwa zaidi ni uboreshaji...

Wawili wafariki ajali ya helikopta

ATHENS, Ugiriki AJALI ya helikopta mbili za kukabiliana na majanga ya moto zilizogongana nchini Ugiriki imesababisha vifo vya wafanyakazi wake wawili. Katika ajali hiyo iliyotokea wakati...

Usiyoyajua kuhusu mkasa wa bilionea wa Telegram

LOS ANGELES, Marekani BILIONEA anayemiliki mtandao wa kijamii wa Telegram, Pavel Durov, anakabiliwa na shutuma kutoka katika mataifa mawili ya Urusi na Ufaransa. Katika taarifa yake...

Binti aliyefaulu Kidato cha Tano aokolewa kabla ya kuozeshwa Shinyanga

Na Mwandishi Wetu, Shinyanga JUHUDI za Serikali za kupambana na ndoa za utotoni zimezaa matunda mkoani Shinyanga baada ya operesheni maalumu kumuokoa binti aliyekuwa amefaulu...

Mwamba wa ‘unga’ aliyeisumbua Marekani kwa miaka 40

LOS ANGELES, Marekani ANAITWA El Mayo. Ndilo jina maarufu zaidi kuliko Ismael Zambada alilopewa na wazazi wake, akiwa pia ndiye muasisi wa genge hatari la...

Meli ya mizigo yazama, watu 23 hawajulikani walipo

BEIJING, China MELI ya mizigo ya Vietnam imeripotiwa kuzama jirani na Mwamba wa Yongshu katika Bahari ya South China. Vyombo vya habari vya China vimeripotiwa taarifa...

IWPG: Tusikubali vita kuwa jambo la kawaida

Na mwandishi wetu, Gazetini VIONGOZI wa wanawake kutoka Afrika, Ulaya na maeneo mengine duniani wametoa wito wa kuimarishwa kwa juhudi za kujenga amani duniani, wakisisitiza...

Maeneo wanayokimbilia wahamiaji nchini Marekani

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA mwaka 2025, idadi ya wahamiaji nchini Marekani ilipungua kutoka milioni 2.7 hadi milioni 1.3, idadi ndogo zaidi katika historia ya...

Unaitumiaje wikiendi yako?

Na mwandishi wetu, Gazetini UTAFITI wa Shirika la Takwimu za Kazi la Marekani umefichua namna watu nchini humo wanavyozitumia siku zao mbili za mapumziko ya...

Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga achaguliwa Rais mpya wa AMECEA

Na mwandishi wetu, Gazetini ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mbeya, Mhashamu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Mabaraza ya...

Vijana na tatizo la ajira duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini TATIZO la ajira kwa vijana limeendelea kuzalisha maandamano katika nchi mbalimbali duniani, safari hii India ikichukua nafasi. Hamasa ya vijana wa Chama...

Dc Temeke avitaka vyombo vya dola kuchunguza showroom za magari

Na mwandishi wetu, Gazetini MKUU wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda, amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi katika showroom za magari wilayani humo...

Recent articles