Na mwandishi wetu, Gazetini
WATU zaidi ya 80 walipoteza maisha kati ya Oktoba, 2025, hadi Julai, 2026, chanzo kikiwa ni uvumi wa taarifa za upotoshaji...
RIO, Brazil
UMOJA wa Ulaya (EU) umeweka katazo kwa nchi zake kuingiza nyama kutoka Brazil, ikieleza kuwa hatua hiyo inatokana na sababu za kiafya.
Kwa mujibu...
Na mwandshi wetu, Gazetini
WAKILI Dickson Matata amedai kuwa mwanaharakati mtanzania Malisa GJ amekamatwa baada ya kuwasili katika mpaka wa Namanga akitokea Kenya, huku hadi...
CALIFORNIA, Marekani
UNAMFAHAMU Andrew Cherng? Ndiye mmiki wa kampuni maarufu ya Panda Express, ambayo ina migahawa yake mingi katika maeneo mbalimbali duniani. Kwa sasa, Cherng...
CAIRO, Misri
AFRIKA hutumia zaidi ya Dola za Marekani bilioni 100 kila mwaka kuagiza vyakula kutoka nje, huku wataalamu wakihimiza juhudi za makusudi za kupunguza...
HARARE, Zimbabwe
WAUMINI wa Kikiristo takribani 27 waliokuwa wanakwenda kanisani wamepoteza maisha baada ya basi lao dogo kupata ajali nchini Zimbabwe.
Kwa mujibu wa taarifa ya...
BERLIN, Ujerumani
MAHAKAMA Kuu nchini Ujerumani imemuhukumu kifungo cha maisha mwanaume mwenye umri wa miaka 81 kwa mashitaka ya kubaka na kuua.
Kwa mujibu wa taarifa,...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MWAKA 1950, Tokyo (Japan) na New York (Marekani) ndiyo miji iliyokuwa na idadi kubwa ya watu duniani. Tokyo ilikuwa na watu...
As the scope of humanitarian crises continues to expand worldwide, World Humanitarian Day serves as a reminder that behind the statistics of wars and...
LAGOS, Nigeria
KIKONGWE mwenye umri wa miaka 101, bi. Esther Ogunmabo, anashikiliwa na polisini nchini Nigeria kwa kosa la kuuza dawa za kulevya aina ya...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
AGOSTI 19 ya kila mwaka, Tanzania, kama zilivyo nchi zingine duniani, huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Misaada ya Kibinadamu. Kwa kuyataja...