Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Waziri Mkuu Pakistan hali mbaya gerezani

ISLAMABAD, Pakistan WAZIRI Mkuu wa zamani wa Pakistan, Imran Khan, anaelekea kupoteza uwezo wake wa kuona, wakati huu akiendelea kutumikia kifungo cha gerezani. Khan, ambaye alishika...

WhatsApp yapigwa kufuli Urusi

MOSCOW, Urusi SERIKALI ya Urusi imeagiza kufutwa kwa matumizi ya WhatsApp nchini humo, huku ikiwa na mbadala wa mtandao huo wa kijamii. Mamkala zimetoa agizo hilo...

Kim amteua binti yake kuwa mrithi

SEOUL, Korea Kaskazini RAIS wa Korea ya Kaskazini, Kim Jong Un, ameripotiwa kumteua binti yake kuwa mrithi wake katika siku za usoni. Binti huyo, Kim Ju...

Britney Spears sasa siyo mmiliki wa kazi zake

LOS ANGELES, Marekani BIBIYE mwenye jina na mafanikio makubwa katika muziki wa Pop duniani, Britney Spears, kwa sasa hamiliki haki zozote za kazi alizofanya baada...

Raia wa Syria hawataki kuondoka Ujerumani

MUNICH, Ujerumani LICHA ya jitihada za Serikali ya Ujerumani, raia wengi wa Syria hawataki kuondoka nchini humo ili kurejea makwao. Raia wa Syria takribani 6,000 waliomba...

Polisi: Aliyeua watu nane ana changamoto ya afya ya akili

TORONTO, Canada POLISI nchini Canada wamebaini kuwa mshukiwa wa mauaji ya watu nane, ambaye ni mwanamke, ana changamoto ya afya ya akili. Mwanamke huyo mwenye umri...

Rais kuongezewa muda yazua jambo Zimbabwe

HARARE, Zimbabwe WANANCHI wa Zimbabwe wameonesha kutokuvutiwa na mpango wa Baraza la Mawaziri wa kuongeza muda wa rais kukaa madarakani. Kwa mujibu wa Katiba ya sasa,...

Sofapaka haitanii, yasajili mastaa 11

NAIROBI, Kenya VIGOGO wa Ligi Kuu ya Kenya, Sofapaka FC, wamefanya balaa zito kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo, ambapo imetema wachezaji 11. Mkakati huo...

Wizkid ampasukia 2Baba kisa Burna Boy

LAGOS, Nigeria STAA wa Afrobeat, Wizkid, amemjibu mkongwe wa muziki huo, 2Baba, akimwita 'babu' kutokana na maoni yake ya hivi karibuni. 2Baba aliulizwa maoni yake juu...

OSHA yaja na mpango wa kuwezesha biashara na uwekezaji nchini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAKALA wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umezindua mpango wake wa kushirikiana na Maafisa Biashara wa Mikoa na Wilaya...

Simu, ‘laptop’ zinavyohatarisha maisha yako

Na mwandishi wetu, Gazetini HIVI unafahamu kuwa betri zinazotumika katika simu au kompyuta-mpakato (laptop), ambazo kwa lugha ya Kiingereza hufahamika kwa jina la 'rechargeable batteries',...

Davido; ‘Mtoto wa kishua’ aliyeacha shule kisa muziki

LAGOS, Nigeria JINA alilopewa na wazazi wake ni David Adedeji Adeleke, ingawa mashabiki wa sanaa ya muziki wanamfahamu kwa jina la Davido. Tofauti na wanamuziki wengi,...

Recent articles

spot_img