Na Faraja Mulungu, Gazetini
KAMPUNI ya Lake Energies imezindua mfumo wa kidijitali unaowawezesha wateja kujihudumia wenyewe katika vituo vya mafuta, hatua inayolenga kupunguza muda wa...
Na Derick Milton, Gazetini-Simiyu
UIBUAJI wa miradi ya maendeleo usiozingatia ushirikishwaji wa wadau unatajwa kuwa moja ya sababu za kutokufanya vizuri kwa baadhi ya miradi...
Na mwandishi wetu, Gazetini-Njombe
TUME ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imewataka viongozi na watumishi wa vyama vya ushirika nchini kuepuka vitendo vya ubadhilifu na...
Na Malima Lubasha, Gazetini
SERENGETI. MKAZI wa Kitongoji cha Kwirambo, Kijiji cha Bonchugu, Tarafa ya Rogoro, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Magige Ryoba (38), amefariki...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Ijumaa, Septemba 25, 2026, amehitimisha hoja yake ya sita ya...
Na Esther Mnyika, GAZETINI
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya mabadiliko ya ratiba ya uendeshaji wa Upimaji na Mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026,...
Na mwandishi wetu, Gazetini
BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, mwimbaji wa muziki wa injili nchini, Kelvin Bosco, anatarajia kurejea kwenye muziki kwa kishindo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SERIKALI imesema katika kuongeza ufanisi katika sekta za Bandari nchini kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetekeleza miradi mbalimbali...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UTAFITI mpya wa kimataifa umebaini kuwa kati ya wakulima na wafanyakazi wa mashambani milioni 402 hadi 433 duniani wanaathiriwa na viuatilifu...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SERIKALI imesaini mkataba wa Sh bilioni 198.67 kwa ajili ya ujenzi wa njia mpya ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SERIKALI kupitia Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) imeanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa...