Na Esther Mnyika, Gazetini
MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amewaonya wananchi dhidi ya kukabidhi vitambulisho au namba zao za Taifa kwa watu wengine kwa...
MUMBAI, India
Rais wa Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Bravo Group Tanzania, Angelina Ngalula, amesema mazungumzo yake na uongozi...
Na mwandshi wetu, Gazetini
WAKILI Dickson Matata amedai kuwa mwanaharakati mtanzania Malisa GJ amekamatwa baada ya kuwasili katika mpaka wa Namanga akitokea Kenya, huku hadi...
BUENOS AIRES, Argentina
LIONEL Messi ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Argentina, akisema amefikia wakati wa kuachana na jezi hiyo baada ya safari...
Na Esther Mnyika, Gazetini
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka wasanii, waandaaji wa burudani, watayarishaji wa maudhui na wadau wengine wenye ushawishi kwa jamii kutumia...
Na mwandishi wetu, Gazetini
GARI la watalii limetumbukia mtoni katika eneo la Kogatende, Kivuko cha Nyumbu Namba Moja, ndani ya Hifadhi ya Taifa Serengeti, huku...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Mkuu wa Wilaya ya Chato, mkoani Geita, Louis Bura, amesema kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi katika Mkoa wa Geita imepelekea...
Na Faraja Mulungu, Gazetini
DEOGRATIUS John Ndejembi ameanza rasmi majukumu yake mapya ya kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya...
Na Faraja Mulungu Gazetini
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chini ya Mwenyekiti wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Asharose Migiro, amesema Halmashauri Kuu ya CCM imeamua kumfukuza uanachama aliyekuwa Makamu wa...
As the scope of humanitarian crises continues to expand worldwide, World Humanitarian Day serves as a reminder that behind the statistics of wars and...