Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

PSG wajitosa kwa Rodrygo

PARIS, UfaransaVIGOGO wa Ligue 1, PSG, wameingia rasmi katika mBio za kuifukuzia saini ya mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil,...

P. Diddy akwaa kisiki, arudishwa gerezani

NEW YORK, MarekaniSTAA wa muziki wa Hip hop, Sean Combs 'P. Diddy', amekwaa kisiki katika kesi zinazomkabili baada ya juzi kunyimwa dhamana.P. Diddy anasota...

Hazard amshangaa Giroud

LILLE, UfaransaSTAA wa zamani wa Chelsea, Eden Hazard, ameeleza kushangazwa na namna Olivier Giroud anavyoendelea kucheza kwa kiwango cha juu, licha ya umri wake...

Guardiola kuchukua kipa Barca

MANCHESTER, EnglandKOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amewataka mabosi wake kuhakikisha wanainasa saini ya mlinda mlango wa Barcelona, Marc-Andre ter Stegen.Man City, baada ya...

Sterling kutimkia Saudia?

LONDON, EnglandKLABU za Ligi Kuu ya Saudi Arabia zinapigana vikumbo kuiwania saini ya winga wa Chelsea, Raheem Sterling.Sterling aliyecheza kwa mkopo Arsenal, ameshaambiwa wazi...

Pirates wamtengea Kanoute bil. 1.4/-

PRETORIA, Afrika KusiniVIGOGO wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini, Orlando Pirates, wanaitaka saini ya kiungo wa zamani wa Simba, Sadio Kanoute.Kwa mujibu wa kile...

Watumishi wa Umma watakiwa kujifunza kwa bidii kuongeza ufanisi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Dodoma Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi, amewahimiza watumishi wa umma kujenga utamaduni wa...

Tembocard ni Shwaa yampa gari Rahabu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Benki ya CRDB imesema kampeni ya kuhamasisha matumizi ya kidigitali katika kufanya miamala kupitia kadi ya Tembocard imekuwa na mafanikio makubwa. Kampeni...

Kagera yafanya mageuzi makubwa ya maendeleo

Na Ramadhan Hassan, Dodoma Mkoa wa Kagera umeandika historia mpya ya maendeleo kwa kipindi cha Novemba 2020 hadi Aprili 2025, kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya...

Visual| Sekta ya Madini ilivyovuka lengo la Trilioni 1 kabla ya wakati

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba, amesema kuwa hadi kufikia Juni 28, 2025 — zikiwa zimebaki siku chache...

DAS Kinondoni aipongeza MONTI International kwa kuibua, kulea vipaji vya watoto

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Dar es Salaam Katibu tawala wilaya ya Kinondoni - DAS, Warda Abdallah ameipongeza Shule ya Kimataifa ya Monti kwa kuibua na kulea...

Iran yataka Israel, Marekani ziadhibiwe

TEHRAN, Iran WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuzitambua Israel na Marekani kuwa ni...

Recent articles

spot_img