14.7 C
New York

PSG wajitosa kwa Rodrygo

Published:

PARIS, Ufaransa
VIGOGO wa Ligue 1, PSG, wameingia rasmi katika mBio za kuifukuzia saini ya mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil, Rodrygo.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 24, hafurahishwi na kitendo cha kusugua benchi, kama ilivyotokea katika mchezo uliopita dhidi ya Juventus.
Kwa upande wake, kocha wa PSG, Luis Enrique, anaamini Rodrygo ana nafasi kubwa katika mipango yake ya msimu ujao.
Endapo usajili huo utakamilika, Rodrygo ataungana Khvicha Kvaratskhelia, Ousmane Dembele na Desire Doue katika safu ya ushambuliaji ya matajiri hao wa Ufaransa.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img