PRETORIA, Afrika Kusini
VIGOGO wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini, Orlando Pirates, wanaitaka saini ya kiungo wa zamani wa Simba, Sadio Kanoute.
Kwa mujibu wa kile kilichoripotiwa na mtandao maarufu wa kandanda wa AfrikaFoot, mabosi wa Pirates wametenga Randi milioni 10 (Zaidi ya Sh bil. 1.4 za Tanzania) kwa ajili ya mchezaji huyo.
Kanoute ni mchezaji huru kwa sasa baada ya kuachana na Stade Malien ya nchini kwao, Mali.
Pirates wamtengea Kanoute bil. 1.4/-
Published:


